Yanga Inafanya Mapinduzi ya Kisoka, SSC bado iko na Mpira wa Siasa

Yanga Inafanya Mapinduzi ya Kisoka, SSC bado iko na Mpira wa Siasa

Siamini kuwa mashabiki wa ssc wamekosa imani kiasi hiki, ili hali wanakocha mzungu, mchezaji mzumgu, ceo mzungu wanauzoefu wa huko nyuma kimashindano.
 
Mleta thread mbona kigeugeu?

Ulikuja na uzi ulisema kuwa Simba wanakikosi bora kuliko Yanga, hivyo usindi wa Yanga kwa Simba haiondoi ukweli kuwa Yanga hawana timu bora. Na ulisema kuwa Msimu huu Simba inaenda kucheza nusu fainali ya CAF champions league. Vipi tena mbona una ndimi mbili mbili?
IMG_20220901_123444.jpg
 
Mleta thread mbona kigeugeu?

Ulikuja na uzi ulisema kuwa Simba wanakikosi bora kuliko Yanga, hivyo usindi wa Yanga kwa Simba haiondoi ukweli kuwa Yanga hawana timu bora. Na ulisema kuwa Msimu huu Simba inaenda kucheza nusu fainali ya CAF champions league. Vipi tena mbona una ndimi mbili mbili?View attachment 2341897

Sawa niliandika hivyo, na now ninaandika the opposite, je kuna tatizo ?
 
IMG_8270.jpg

Huyu hapa SEMAJI la CUF , huyu jamaa alikuwaga ni mwanahabari very professional and smart ; Ila amekuwa ni kijana wa Hovyo tangu aende Msimbazi .

Hivi kweli Madrid ni ya kulinganisha au kupigia Mfano na SSC . Si ndio huyu alisema Manzoki ni Red.

Leo anasema tuwape sapoti wachezaji ambao wameshasajili.

I understand ni kazi na ugali now , but ame act unprofessional kusema mashabiki waache kulalamika..... Yaani hapo ni sawa na kuondoa haki ya kikatiba right to share opinion na mawazo huru. Sasa mwana Habari kama huyu ambae ni professional inasikitisha kuona kauli kama hizo .

Siku hizi amekuwa ni Mtu wa MITANDAO badala ya kuwa Mwanahabari.

Shame !

Usajili wa Simba currently ni big failure , Big time ....... hata kama tukitumia Icing Sugar To cover the MyTh and Fantasy...... SSC inakwenda kudondokea Pua tena , Big failure., SSC ni Talker , Yanga SC ni Action Oriented Club.

Mwanaume Atabaki kuwa kichwa cha Familia no matter what !
 
Wachezaji wa kigeni wa Yanga wote ni moto
Simba tuna wqchezaji wengi wa kigeni wa kawaida the likes of Banda, Akpan, Kanoute, na Dejan...wapigwe tu.

Kabisa
 
Huo msimamo wa ligi , Umecheza na Nani ?

Ni very soon soon utajua hujui. Ni suala la Muda utagundua kwamba hapa we are discussing issues ambazo zinahitaji kuwa taken serious
Kwa hiyo hizo mechi ambazo Yanga wamefunga goli chache hawakucheza serious?
 
Kumbe ndio maana mzeebaba onyango akawa anafosi kusepa

Kumbe alishasanuka kipimo chake cha umri kinarudi mjini.
 
Mandonga akili yake inamwambia anaweza yaan hiyo ipo inside his head , ukija the reality on the ground , ukimgusa kidogo kichwan anaanguka kama ana kifafa. Ndio kama SIMBA , inatandikwa Then wanasema oooh tumejifunza wapi panavuja lol [emoji13], wao kila siku ni kujifunza wap panavuja.... Big time Yaani SSC is too good for nothing

Wzseme tu ni msimu wa pili sasa they have poor investment na karata zimechezwa tena vibaya.

Wao miaka nenda rudi ni Chama Chama Yaani utadhan wachezaji bora Africa ni chama tu ; chama now is too old hana Tena maajabu. Na hivyo waafrica wanavyodanganya Umri ; ukute Chama is almost approaching 40 but wanadai he is 31 .
Kazi ipo
We have september now! Tulia utamuona Mandonga wa KMC
 
Labda kwa uchawi maana mlikoswa goli 27 kipindi kile kocha uchebe simba ya moto kimataifa tukaamua tumchukue kakolanya zalan wanawasubiria.
 
Haya haya wanasimba. Mechi ya leo bado imetupa mwangaza ; tuna boresha kikosi
 
Cheki waji
Niseme kweli SITOTAMANI kuangalia tena Mpira wa Simba na Yanga hiyo October.

Kwa Mapinduzi na Mageuzi anayoyafanya Yanga ambayo yapo kimkakati kimataifa zaidi, hali itakuwa ni mbaya kwa SSC na itakuwa ni aibu sana SSC atakapokutana na Yanga.

Imagine tu , Kuna Stefano Aziz , kuna Tusila Kisinda , kuna Mayele , Mama yangu ..... kuna yule mwendawazimu Efua Morrison ..... huku kuna huyu Mpemba Feisali..... tuacheni Utani SSC anatoka vipi hapo ? Kwa huyu Dejan ? Tshabalala ? Outara ? Yaani kwa mchezaji gani kwa mfano atakuwa na power ya kumzuia Efua, Tusila, Stefano au Mayele .. hii ni hatari sasa. Hawa wazee wa SSC watapata tabu sana, nasema watapata tabu sana.... maana kipigo chake kitakuwa ni cha mbwa koko.

Simba yeye ana Mzungu na siasa za matangazo bila matendo , hali ni mbaya MSIMBAZI , nasema tena hali ni tete MSIMBAZI .

Timu mpaka sasa bado inafanyiwa MABORESHO kwa mujibu wa Msemaji wa SSC; Ligi imeshaanza, na Champion ligi ina wiki chache kuanza ..... bado tupo kwa maboresho tena ..... Nasema hali ni tete Msimbazi..... Barba Out !

Kikosi cha UTOPOLO cha sasa ni cha Dhahabu na hakika kinakwenda KUSABABISHA. Naiona Yanga kwenye robo fainali ya CAF : naiona SSC ikitolewa Kwenye Preliminary stage round ya pili. Time will tell ,tuupe Muda wakati.

SSC bado inaamini kwenye myth , kwamba wao ni timu kubwa .... wanasahau kuwa mpira ni elasticity na Yanga amesha prove wrong kwa SSC more than 3 times kuwa SSC nyakati zimebadilika..... lakini SSC ina Act Kama MANDONGA.

Kwenye akili ya mandonga yeye ni MSHINDI na yeye anaweza kumpiga yoyote na kuwa alipigwa kwa kuotewa.... yaani ameiaminisha ujinga akili yake out of knowing the reason why ..... ndiyo inachofanya SSC.

Ni suala la Muda mchache sana ukweli utajulikana na ni muda mchache sana Barba Gonzalenz itamlazimu ajitafakari upya na utendaji wake pamoja na strategy zake.

Nina rudia tena, Barba ame focus zaidi Kwenye matangazo na siasa za Mpira kuliko investment na performance ya timu.

Time will tell very soon , Hali ya Msimbazi ni Mbaya sana hasa ukizingatia usajili uliofanywa ni kama vile Management haikujifunza kupitia last season. Ni dhahiri kuwa Yanga ilijifunza kitu na ina isuprize dunia very soon. Hongera Engenear. Mwanaume ndiyo kichwa cha familia.

Poleni wanasimba. Yule mwendawazimu wa mbio ameingia mjini, kazi ipo !
cheki wajinga hawa
 
Umeandika ujinga wa kutosha sana. Kesho mnaenda kukeketwa live
 
Duuh aise ramli zingne ni chonganishi tnazidi kuona mengi
 
Walikuwa wanasema kikosi chao ni cha UEFA champions league leo hii wamekimbia uzi wote
 
Back
Top Bottom