Yanga Inafanya Mapinduzi ya Kisoka, SSC bado iko na Mpira wa Siasa

Siamini kuwa mashabiki wa ssc wamekosa imani kiasi hiki, ili hali wanakocha mzungu, mchezaji mzumgu, ceo mzungu wanauzoefu wa huko nyuma kimashindano.
 
Mleta thread mbona kigeugeu?

Ulikuja na uzi ulisema kuwa Simba wanakikosi bora kuliko Yanga, hivyo usindi wa Yanga kwa Simba haiondoi ukweli kuwa Yanga hawana timu bora. Na ulisema kuwa Msimu huu Simba inaenda kucheza nusu fainali ya CAF champions league. Vipi tena mbona una ndimi mbili mbili?
 

Sawa niliandika hivyo, na now ninaandika the opposite, je kuna tatizo ?
 

Huyu hapa SEMAJI la CUF , huyu jamaa alikuwaga ni mwanahabari very professional and smart ; Ila amekuwa ni kijana wa Hovyo tangu aende Msimbazi .

Hivi kweli Madrid ni ya kulinganisha au kupigia Mfano na SSC . Si ndio huyu alisema Manzoki ni Red.

Leo anasema tuwape sapoti wachezaji ambao wameshasajili.

I understand ni kazi na ugali now , but ame act unprofessional kusema mashabiki waache kulalamika..... Yaani hapo ni sawa na kuondoa haki ya kikatiba right to share opinion na mawazo huru. Sasa mwana Habari kama huyu ambae ni professional inasikitisha kuona kauli kama hizo .

Siku hizi amekuwa ni Mtu wa MITANDAO badala ya kuwa Mwanahabari.

Shame !

Usajili wa Simba currently ni big failure , Big time ....... hata kama tukitumia Icing Sugar To cover the MyTh and Fantasy...... SSC inakwenda kudondokea Pua tena , Big failure., SSC ni Talker , Yanga SC ni Action Oriented Club.

Mwanaume Atabaki kuwa kichwa cha Familia no matter what !
 
Wachezaji wa kigeni wa Yanga wote ni moto
Simba tuna wqchezaji wengi wa kigeni wa kawaida the likes of Banda, Akpan, Kanoute, na Dejan...wapigwe tu.

Kabisa
 
Huo msimamo wa ligi , Umecheza na Nani ?

Ni very soon soon utajua hujui. Ni suala la Muda utagundua kwamba hapa we are discussing issues ambazo zinahitaji kuwa taken serious
Kwa hiyo hizo mechi ambazo Yanga wamefunga goli chache hawakucheza serious?
 
Kumbe ndio maana mzeebaba onyango akawa anafosi kusepa

Kumbe alishasanuka kipimo chake cha umri kinarudi mjini.
 
We have september now! Tulia utamuona Mandonga wa KMC
 
Labda kwa uchawi maana mlikoswa goli 27 kipindi kile kocha uchebe simba ya moto kimataifa tukaamua tumchukue kakolanya zalan wanawasubiria.
 
Haya haya wanasimba. Mechi ya leo bado imetupa mwangaza ; tuna boresha kikosi
 
Cheki waji
cheki wajinga hawa
 
Umeandika ujinga wa kutosha sana. Kesho mnaenda kukeketwa live
 
Duuh aise ramli zingne ni chonganishi tnazidi kuona mengi
 
Walikuwa wanasema kikosi chao ni cha UEFA champions league leo hii wamekimbia uzi wote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…