Yanga Inafanya Mapinduzi ya Kisoka, SSC bado iko na Mpira wa Siasa

Walikuwa wanasema kikosi chao ni cha UEFA champions league leo hii wamekimbia uzi wote
Na wachambuzi wao wa mchongo,waliwapamba sana mitandaoni ,mashabiki maandazi nao wakaikingizwa king, matokeo yake ni hayo sasa wanakimbiana wenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…