Yanga inahitaji hongera..

Yanga inahitaji hongera..

Nebuchadneza

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2023
Posts
435
Reaction score
1,093
Kucheza na big club Africa tena giant,iliyosheheni full mkoko wameshindwa kuwafunga yanga ambayo haina wachezaji wake muhimu.
Pacome
Aucho
Yao yap
Ebu jamani ingekuwa simba unacheza na mamelody ile ya jana iliyosheheni wachezaji wake wote,simba wangemkosa
Chama
Ngoma
Mohamed Hussein
Alafu ndo iwe inacheza na mamelody SUNDOWN jamani jamani mbona taifa lingeaibika.
Kwenye ukweli tuseme ukweli yanga
Ni big club tanzania
 
Hongera sana wanayanga
 
Hongera Sana KABWILI
IMG-20240330-WA0589.jpg
 
Hongera yanga, naona tunaipa sifa kwasbabu haijafungwa nyumbani kama simba. Okay
 
Hii hata aibu hauna kwa ulichopost? Possession 80+ halafu Yanga ndiye aliyepiga shuti na ndiye aliyefanya attempt.
Maanake Mamelod waliachiwa wachezee mpira golini kwao.
Possession ya dakika ya nne. Haoni game ndo ilikua imeanza
 
Kucheza na big club Africa tena giant,iliyosheheni full mkoko wameshindwa kuwafunga yanga ambayo haina wachezaji wake muhimu.
Pacome
Aucho
Yao yap
Ebu jamani ingekuwa simba unacheza na mamelody ile ya jana iliyosheheni wachezaji wake wote,simba wangemkosa
Chama
Ngoma
Mohamed Hussein
Alafu ndo iwe inacheza na mamelody SUNDOWN jamani jamani mbona taifa lingeaibika.
Kwenye ukweli tuseme ukweli yanga
Ni big club tanzania
True, yanga ikicheza huna hata pressure. Ila simba sasa, angeweza kula hata 3 jana

Cc: BICHWA KOMWE -
 
Mamelodi waliwazidi na kuwachezea kwa dharau hilo liko wazi na wote tumeona mpira haya mengine ni kujifariji tu.

Kila la kheri kwa timu zetu
Yawezekana Mamelody waliwazidi Yanga. Hata hivyo, kuna incidences kadhaa wachezaji wa Mamelody walikuwa wanapigwa chenga mpaka wanagongana wao kwa wao. Halafu kuna wakati Nzegeli alimtoka jamaa kwa kumpiga chenga ya mwili, jamaa akataka kumkwatua akamkosa ikabidi amshike tena kwa mikono miwili. Mamelody pamoja na kujua mpira, jana wameteseka sana.
 
kuna baadhi ya watu kwa kuwasifu na kuwaabudu mamelodi watakwambia ilikua ni mbinu.
 
Kucheza na big club Africa tena giant,iliyosheheni full mkoko wameshindwa kuwafunga yanga ambayo haina wachezaji wake muhimu.
Pacome
Aucho
Yao yap
Ebu jamani ingekuwa simba unacheza na mamelody ile ya jana iliyosheheni wachezaji wake wote,simba wangemkosa
Chama
Ngoma
Mohamed Hussein
Alafu ndo iwe inacheza na mamelody SUNDOWN jamani jamani mbona taifa lingeaibika.
Kwenye ukweli tuseme ukweli yanga
Ni big club tanzania
Naunga mkono hoja
 
Mashabiki uchwara wa Mamelodi wanapitia kipindi kigumu sana.
 
Back
Top Bottom