Yanga inahitaji hongera..

Yanga inahitaji hongera..

Tunamshukuru Mama kwa droo ya jana. Mungu atuongoze vyema tumalize kazi pale Loftus, Pretoria.
 
Yanga inahitaji maombi sio hongera,

Kitakachokwenda kuwakuta Kwa madiba hamtakisahau
 
Ulipaswa kuandiki Yanga Inahitaji Pongezi.

Hata kuandika tu hujui.?????

Nyie tuliisha waambia wenye akili ni wawili tu.
 
Hongereni Yanga kwa ushindi wa goli 4 na pointi 3 mshavuka,kule Sauz mkapaki basi tu mmeingia nusu kiulaini.
 
Back
Top Bottom