Nebuchadneza
JF-Expert Member
- Oct 6, 2023
- 435
- 1,093
Hongera sana wanayangaKucheza na big club Africa tena giant,iliyosheheni full mkoko wameshindwa kuwafunga yanga ambayo haina wachezaji wake muhimu.
Pacome
Aucho
Yao yap
Ebu jamani ingekuwa simba unacheza na mamelody ile ya jana iliyosheheni wachezaji wake wote,simba wangemkosa
Chama
Ngoma
Mohamed Hussein
Alafu ndo iwe inacheza na mamelody SUNDOWN jamani jamani mbona taifa lingeaibika.
Kwenye ukweli tuseme ukweli yanga
Ni big club tanzania
Hii hata aibu hauna kwa ulichopost? Possession 80+ halafu Yanga ndiye aliyepiga shuti na ndiye aliyefanya attempt.Hongera Sana KABWILI
View attachment 2949894
Hongera Uto mmeshinda goli 3🤣🤣🤣🤣🐸🐸🐸Hii hata aibu hauna kwa ulichopost? Possession 80+ halafu Yanga ndiye aliyepiga shuti na ndiye aliyefanya attempt.
Maanake Mamelod waliachiwa wachezee mpira golini kwao.
Possession ya dakika ya nne. Haoni game ndo ilikua imeanzaHii hata aibu hauna kwa ulichopost? Possession 80+ halafu Yanga ndiye aliyepiga shuti na ndiye aliyefanya attempt.
Maanake Mamelod waliachiwa wachezee mpira golini kwao.
True, yanga ikicheza huna hata pressure. Ila simba sasa, angeweza kula hata 3 janaKucheza na big club Africa tena giant,iliyosheheni full mkoko wameshindwa kuwafunga yanga ambayo haina wachezaji wake muhimu.
Pacome
Aucho
Yao yap
Ebu jamani ingekuwa simba unacheza na mamelody ile ya jana iliyosheheni wachezaji wake wote,simba wangemkosa
Chama
Ngoma
Mohamed Hussein
Alafu ndo iwe inacheza na mamelody SUNDOWN jamani jamani mbona taifa lingeaibika.
Kwenye ukweli tuseme ukweli yanga
Ni big club tanzania
Yawezekana Mamelody waliwazidi Yanga. Hata hivyo, kuna incidences kadhaa wachezaji wa Mamelody walikuwa wanapigwa chenga mpaka wanagongana wao kwa wao. Halafu kuna wakati Nzegeli alimtoka jamaa kwa kumpiga chenga ya mwili, jamaa akataka kumkwatua akamkosa ikabidi amshike tena kwa mikono miwili. Mamelody pamoja na kujua mpira, jana wameteseka sana.Mamelodi waliwazidi na kuwachezea kwa dharau hilo liko wazi na wote tumeona mpira haya mengine ni kujifariji tu.
Kila la kheri kwa timu zetu
kuna baadhi ya watu kwa kuwasifu na kuwaabudu mamelodi watakwambia ilikua ni mbinu.Yawezekana Mamelody waliwazidi Yanga. Hata hivyo, kuna incidences kadhaa wachezaji wa Mamelody walikuwa wanapigwa chenga mpaka wanagongana wao kwa wao. Halafu kuna wakati Nzegeli alimtoka jamaa kwa kumpiga chenga ya mwili, jamaa akataka kumkwatua akamkosa ikabidi amshike tena kwa mikono miwili. Mamelody pamoja na kujua mpira, jana wameteseka sana.
Hutaki kujà getoTrue, yanga ikicheza huna hata pressure. Ila simba sasa, angeweza kula hata 3 jana
Cc: BICHWA KOMWE -
Naunga mkono hojaKucheza na big club Africa tena giant,iliyosheheni full mkoko wameshindwa kuwafunga yanga ambayo haina wachezaji wake muhimu.
Pacome
Aucho
Yao yap
Ebu jamani ingekuwa simba unacheza na mamelody ile ya jana iliyosheheni wachezaji wake wote,simba wangemkosa
Chama
Ngoma
Mohamed Hussein
Alafu ndo iwe inacheza na mamelody SUNDOWN jamani jamani mbona taifa lingeaibika.
Kwenye ukweli tuseme ukweli yanga
Ni big club tanzania
NakujaaHutaki kujà geto
Daima mbele nyuma mwikoHongera Sana KABWILI
View attachment 2949894