Yanga inambidi amfunge Medeama goli 5 ili kufufua matumaini ya kufuzu

View attachment 2847530

Ki ukweli japo mi shabiki wa Simba nataka pia Yanga apite robo, sababu itakuwa heshima kwa TZ kuwa na timu mbili robo fainali, katika timu 8 (Hata Misri ni mara chache anafanikiwa kuingiza timu 2 robo fainali)

Ili Yanga awe na nafasi ya kufuzu robo sio tu amfunge Medeama bali anatakiwa kumfunga kwa goli 5 au zaidi

Likely Scenario ipo hivi

Yanga anagombea nafasi ya pili na C.R.B huku yanga akiwa na goal difference ya -3 wakati CRB ana +2

Yanga akishinda goli 5 atakuwa na pointi 5 na G.D ya +2 na CRB akitoa draw na Ahly kule Algeria (likely scenario) naye atakuwa na pointi 5 na G.D yake ikibaki +2 na Yanga kuwa nafasi ya tatu

Mechi ya 5 Yanga dhidi ya Ahly kule Misri akijitahidi akifungwa 2-1 bado atakuwa na pointi zake 5 bado na goal diffence ya +1

CRB akimfunga Medeama kule Algeria 2-0 naye atakuwa na pointi 8 na G.D ya +4

Mechi ya mwisho Yanga dhidi ya CRB anamfunga goli 3-0 kwa Mkapa anakuwa na pointi 8 na G.D ya +4 huku CRB akibaki na pointi nane pia na G.D ya +1 na Yanga anapitaa kwa kuwa na magoli mengi

So mechi ya kesho ndio mechi pekee ambayo Yanga ana nafasi kubwa ya ushindi, ushindi basi uwe mnono....
Usichoeleewa waara
 
Wachezaji wa Yanga wakituliza mataco wanaweza wakapata point 4 katika gemu zao 2 zilizosalia...

Points 9 zitawatosha kufuzu nafasi ya 2
 
CR Belouzidad vs Al Ahly mechi ikiwa sare safari ya Yanga itakuwa imeishia hapa
 
View attachment 2847530

Ki ukweli japo mi shabiki wa Simba nataka pia Yanga apite robo, sababu itakuwa heshima kwa TZ kuwa na timu mbili robo fainali, katika timu 8 (Hata Misri ni mara chache anafanikiwa kuingiza timu 2 robo fainali)

Ili Yanga awe na nafasi ya kufuzu robo sio tu amfunge Medeama bali anatakiwa kumfunga kwa goli 5 au zaidi

Likely Scenario ipo hivi

Yanga anagombea nafasi ya pili na C.R.B huku yanga akiwa na goal difference ya -3 wakati CRB ana +2

Yanga akishinda goli 5 atakuwa na pointi 5 na G.D ya +2 na CRB akitoa draw na Ahly kule Algeria (likely scenario) naye atakuwa na pointi 5 na G.D yake ikibaki +2 na Yanga kuwa nafasi ya tatu

Mechi ya 5 Yanga dhidi ya Ahly kule Misri akijitahidi akifungwa 2-1 bado atakuwa na pointi zake 5 bado na goal diffence ya +1

CRB akimfunga Medeama kule Algeria 2-0 naye atakuwa na pointi 8 na G.D ya +4

Mechi ya mwisho Yanga dhidi ya CRB anamfunga goli 3-0 kwa Mkapa anakuwa na pointi 8 na G.D ya +4 huku CRB akibaki na pointi nane pia na G.D ya +1 na Yanga anapitaa kwa kuwa na magoli mengi

So mechi ya kesho ndio mechi pekee ambayo Yanga ana nafasi kubwa ya ushindi, ushindi basi uwe mnono....
Kwa hiyo Simba ameshafuzu?
 
Unajifanya hauijui Tuki Waki Table wakati wewe mwenyewe umeitumia hapo juu. Ili kufuzu Simba anahitaji kujali mechi zake tu haijalishi wengine wanachezaje, Yanga bado anahitaji kujua matokeo ya wengine yakoje ili kujua nafasi yake imekaaje. Ndiyo maana nzima ya Tuki Waki!
Mpira nyie mmejifunzia wapi, ina maana Galaxy yy hajali mechi zake au Wydad unavyo muona hajali mechi zake. Hivi mmesahau na ule ubora wenu ila Galaxy wakapindua matokeo ya mbili bila kwa Mkapa ukala tatu moja,mbona hamu uheshimu mpira au mmesahau.
 
Niwe mkweli siwezi nikamuombea Yanga apite makundi.

Ntamuombea ashinde mechi lakini sio afike robo

Robo ambayo Simba kwa miaka minne amekuwa akiingia lakini yeye amekuwa mtu wa kwanza kunidhihaki na sasa kanitungia jina Mwakarobo.

Hapana siwezi kuwa mnafiki.

Lazima ajue kwanini kuna ugumu kwenye haya mashindano, lazima atambue kwanini kufika hapa ilimchukua miaka 27.

Hii ndio nidhamu ya mpira ambayo anatakiwa kujifunza na sio kupiga domo kwa timu pinzani na kuzipa mbinu za kumfunga Simba.
Sasa Yanga akienda robo utafanyaje?
 
Al Ahly kumfunga CRB ni ngumu kwa sababu 3

1.Ahly atakua ugenini, CRB atakuwa nyumbani

2. Al Ahly atakua na uchovu unaotokana na mechi na safari nyingi za Club World Cup

3. Kama Ahly alishindwa kumfunga CRB kule Misri, itakua ngumu zaidi kumfunga Algeria

So mechi yao ni likely itakua draw,
Umebaki sana hapo kwenye droo ya Ahly na CRB
 
Yanga mnachekeshaga sana. Mnaiongelea CRB kama vile ile ni Lipuli mnasahau yule ni kigogo mmoja wapo wa soka Afrika hii, halafu mnaongea kuchukua point tatu kwake kirahisi rahisi tu.

Medeama mwenyewe kumfunga kesho ni 50/50 maana kiuhalisia uzoefu na kiwango chenu ni sawa kabisa na wao. Dunia haitashangaa na matokeo ya yeyote atakayeibuka mshindi kesho maana hakuna aliye bora sana kati yenu kumzidi mwenzake.
[emoji1787][emoji23]
 
View attachment 2847530

Ki ukweli japo mi shabiki wa Simba nataka pia Yanga apite robo, sababu itakuwa heshima kwa TZ kuwa na timu mbili robo fainali, katika timu 8 (Hata Misri ni mara chache anafanikiwa kuingiza timu 2 robo fainali)

Ili Yanga awe na nafasi ya kufuzu robo sio tu amfunge Medeama bali anatakiwa kumfunga kwa goli 5 au zaidi

Likely Scenario ipo hivi

Yanga anagombea nafasi ya pili na C.R.B huku yanga akiwa na goal difference ya -3 wakati CRB ana +2

Yanga akishinda goli 5 atakuwa na pointi 5 na G.D ya +2 na CRB akitoa draw na Ahly kule Algeria (likely scenario) naye atakuwa na pointi 5 na G.D yake ikibaki +2 na Yanga kuwa nafasi ya tatu

Mechi ya 5 Yanga dhidi ya Ahly kule Misri akijitahidi akifungwa 2-1 bado atakuwa na pointi zake 5 bado na goal diffence ya +1

CRB akimfunga Medeama kule Algeria 2-0 naye atakuwa na pointi 8 na G.D ya +4

Mechi ya mwisho Yanga dhidi ya CRB anamfunga goli 3-0 kwa Mkapa anakuwa na pointi 8 na G.D ya +4 huku CRB akibaki na pointi nane pia na G.D ya +1 na Yanga anapitaa kwa kuwa na magoli mengi

So mechi ya kesho ndio mechi pekee ambayo Yanga ana nafasi kubwa ya ushindi, ushindi basi uwe mnono....
ndugu yangu unatesekea ukiwa wapi
 
Uchambuzi wote umeandika MAHARAGE tu.

Aliyekwambia Position ziko defined na Goal difference nani??

Kasome tena KANUNI halafu uje na analysis nyingine aisee.
 
Scenario, zako zime base upande mmoja tu hukuwaza katika mazingira tofauti tofauti.

Vipi kama kesho Yanga akashinda hata goli 1 au 2 halafu Al Ahly akamfunga Belouizdad? Huoni hapo Yanga atakuwa na point 5 huku Belouizdad akiwa na point 4 na Al Ahly point 8?

Vipi kama mechi ya raundi ya tano, Yanga akamfunga Belouizdad na Al Ahly akamfunga Medeama? Huoni hapo Yanga na Al Ahly watakuwa wamefunga hesabu? Kwa kuwa na point 8 kwa Yanga na 11 kwa Al Ahly?
Umeongoa point mkuu
 
Back
Top Bottom