Yanga inambidi amfunge Medeama goli 5 ili kufufua matumaini ya kufuzu

Usichoeleewa waara
 
Wachezaji wa Yanga wakituliza mataco wanaweza wakapata point 4 katika gemu zao 2 zilizosalia...

Points 9 zitawatosha kufuzu nafasi ya 2
 
CR Belouzidad vs Al Ahly mechi ikiwa sare safari ya Yanga itakuwa imeishia hapa
 
Kwa hiyo Simba ameshafuzu?
 
Mpira nyie mmejifunzia wapi, ina maana Galaxy yy hajali mechi zake au Wydad unavyo muona hajali mechi zake. Hivi mmesahau na ule ubora wenu ila Galaxy wakapindua matokeo ya mbili bila kwa Mkapa ukala tatu moja,mbona hamu uheshimu mpira au mmesahau.
 
Sasa Yanga akienda robo utafanyaje?
 
Umebaki sana hapo kwenye droo ya Ahly na CRB
 
[emoji1787][emoji23]
 
ndugu yangu unatesekea ukiwa wapi
 
Uchambuzi wote umeandika MAHARAGE tu.

Aliyekwambia Position ziko defined na Goal difference nani??

Kasome tena KANUNI halafu uje na analysis nyingine aisee.
 
Umeongoa point mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…