Kwa Iyo yanga unafikiri kwa hali ya kawaida wanashindwa kumfunga Dodoma jiji, pia ile tulivyowashenyeta kwa mkapa mangungu ni mwanachama wa yanga auMlezi wa Dodoma jiji ni sehemu ya baraza la Yanga, unategemea nn
Kama lile mlilopiga kule Kagera?Watazimaliza mochwari kwa mabomu😂
Na pia mlezi wa Simba ni sehemu ya Baraza la wazee wa yanga ndio maana wamekungu'twa mara 4 mfululizoMlezi wa Dodoma jiji ni sehemu ya baraza la Yanga, unategemea nn
Zimesharudi mbonaaNaona kabisa Kuna watu matumbo yashaanza kuuma kwa maumivu,,awawezi kusema lakini Wana hofu kubwa mioyoni mwao juu ya yanga hii inayorudi kwa Kasi ya KIMONDO!
Yanga wanautwanga,,wanakasi,,wanagusa,wanaachia wanakuja kwako,,ni mabadiliko makubwa kaanza kuyaonyesha kocha Ramovich,,timu inakaba kwa pamoja na inashambulia kwa pamoja,,
Tunawatahadhalisha wale mbumbumbu waliokuwa wameumaliza maneno baada ya kuyumba kwa yanga waendelee kuufyata pia kwa sasa maana wakati wanashindwa zile kelele za gsm anaharibu ligi azikusikika Tena!
Unagongwa chuma za kutosha na Mpira unaonekana!
Mda si mrefu watakuja na habari ya sindano pia utadhani awajui zinapouzwa kama ni rahisi kuzitumia wanavyofikiriaNa sindano tunaendelea kutumia, wakiona tunafaidi sana na wao watumie
Naona kabisa Kuna watu matumbo yashaanza kuuma kwa maumivu,,awawezi kusema lakini Wana hofu kubwa mioyoni mwao juu ya yanga hii inayorudi kwa Kasi ya KIMONDO!
Yanga wanautwanga,,wanakasi,,wanagusa,wanaachia wanakuja kwako,,ni mabadiliko makubwa kaanza kuyaonyesha kocha Ramovich,,timu inakaba kwa pamoja na inashambulia kwa pamoja,,
Tunawatahadhalisha wale mbumbumbu waliokuwa wameumaliza maneno baada ya kuyumba kwa yanga waendelee kuufyata pia kwa sasa maana wakati wanashindwa zile kelele za gsm anaharibu ligi azikusikika Tena!
Unagongwa chuma za kutosha na Mpira unaonekana!
Siku c nyingi watata kuhama ligi makolo sijui wapoje visingizio vingiMakolo hawajawahi kosa la kusema wakizidiwa kiwango, subiri Yanga ika pale juu.
Kanjunju kageuka kanjanja 🤣🤣🤣🤣Tarehe 4 Jan tutakuja hapa na ndipo watu watakua wanalia TUKIWAULIZA UNAITWA nani??
UNAITWA NANI: KANJUNJU
KANJUNJU NANI: KANJUNJU JOHN
🤣🤣😅😅😂😂
Tarehe 4 tiyali na basha wenu keshachukua zakwake 3 swaaafi nenda mkamliwazeTarehe 4 Jan tutakuja hapa na ndipo watu watakua wanalia TUKIWAULIZA UNAITWA nani??
UNAITWA NANI: KANJUNJU
KANJUNJU NANI: KANJUNJU JOHN
🤣🤣😅😅😂😂
KANJUNJU NANI KANJUNJU JOHN 😁😁😂😂😂Kanjunju kageuka kanjanja 🤣🤣🤣🤣