Yanga inarudi kwa kasi ya Kimondo: Hivi punde zile kelele za GSM anaharibu Ligi zitarudi, wanautwanga si mchezo!

ⓖⓞⓞⓞⓞ
IMG-20241225-WA0056.jpg
😂😂😂
 
Mlezi wa Dodoma jiji ni sehemu ya baraza la Yanga, unategemea nn
 
Tarehe 4 Jan tutakuja hapa na ndipo watu watakua wanalia TUKIWAULIZA UNAITWA nani??

UNAITWA NANI: KANJUNJU
KANJUNJU NANI: KANJUNJU JOHN

🤣🤣😅😅😂😂
 
Naona kabisa Kuna watu matumbo yashaanza kuuma kwa maumivu,,awawezi kusema lakini Wana hofu kubwa mioyoni mwao juu ya yanga hii inayorudi kwa Kasi ya KIMONDO!
Yanga wanautwanga,,wanakasi,,wanagusa,wanaachia wanakuja kwako,,ni mabadiliko makubwa kaanza kuyaonyesha kocha Ramovich,,timu inakaba kwa pamoja na inashambulia kwa pamoja,,
Tunawatahadhalisha wale mbumbumbu waliokuwa wameumaliza maneno baada ya kuyumba kwa yanga waendelee kuufyata pia kwa sasa maana wakati wanashindwa zile kelele za gsm anaharibu ligi azikusikika Tena!
Unagongwa chuma za kutosha na Mpira unaonekana!
Zimesharudi mbonaa
Na bado mpaka waseme
 
IMG-20241207-WA0005.jpg
 
Tarehe 4 Jan tutakuja hapa na ndipo watu watakua wanalia TUKIWAULIZA UNAITWA nani??

UNAITWA NANI: KANJUNJU
KANJUNJU NANI: KANJUNJU JOHN

🤣🤣😅😅😂😂
Tarehe 4 tiyali na basha wenu keshachukua zakwake 3 swaaafi nenda mkamliwaze
 
Back
Top Bottom