Yanga inasikitishwa na Tamko lililotolewa na Mdhamini Sportpesa

Yanga kama waliona idea ya kwanza ya sportpesa imekataliwa na caf kwa nini hawakumshirikisha wakae watafute idea nyingine ya kuweka mbele ya jezi yao.

Ikiwa sportpesa hana haki za kukaa kwenye michuano ya kimataifa kwa nini hawakumtafuta mdhamkni mpya moja kwa moja. Wakachagua kuanza na sportpesa.

Janja nyuma ya iyo habari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…