Sportspesa wanazihitaji Simba na Yanga. Akiondoka hizi club mbili hazikosi wadhamini kabisa. Hizi ni club kubwa sana ktk soka la Tz.Huo sinimkeka wa yanga? Subiri kesho mpaka kufikia saa 7 mchana sportpesa nao watatoa mkeka wao pia, yanga jeuri sportpesa nae huwa nijeuri vilevile wala hawakuona kazi kuwamgomea simba matakwa yao kuelekea kurenew mkataba mpya, pia kule kenya waliwachokonoa kidogo kwenye kodi wakaondoka mazima nakuviacha vilabu kama gor mahia e.t.c kwenye hali mbaya ya kiuchumi....hii movie inapoeleka tutaona mengi...abbas tarimba kimyaa anashindwa aegemee upande upi!