Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yanga wamekosea sana katika hili na hii ni ishara kuwa club hii inaendeshwa kama genge la wahuni inapokuja suala la kuheshimu mikataba ndiyo maana ina migogoro ya kimikataba kila uchaoHiyo ndio hoja ya msingi ambayo hata mimi nili doubt kuwa lazima Yanga ndiye aliyekwenda against makubaliano
Kama jambo mlilianzia mezani kwa kushirikishana kwanini lisiishie mezani?
Msemaji wa SportPesa amesema kuwa walitoa proposal ya kutumia LiveScore kwenye jezi
Yanga wakajibu pale pale kuwa hiyo haiwezekani kwasababu utakuwa una deal na kitu kile kile ambacho CAF wamekataza.
SportPesa wao wakadai wapewe majibu ya kimaandishi kutoka CAF na sio speculations za uongozi wa Yanga
Yanga wakaondoka, huku nyuma SportPesa wanasubiria majibu wakifikiri Yanga wataenda kutafiti kwenye vyanzo vya CAF wanastukia tu jezi inazinduliwa na mbele mdhamini ni HAIER
Yanga haikutumia busara na sijui kulikuwa na ulazima gani wa kufosi mpaka ufikie hatua ya ku shake uhusiano wako na mdhamini mkuu aliyeweka pesa nyingi over a little something stupid
Washabiki wa hii timu mna akili ndogo Sana..na kila kitu nyie mnatetea.Uhuni gani yanga imefanya na nini imelazimisha? Yanga anatambua sports pesa ni mdhamini mkuu, caf hatua za robo fainali Sheria zao zinazuia timu kudhaminiwa na wacheza kamari, asa yanga ulitaka wafenyeje kama sports pesa hajakidhi vigezo vya caf?
Yanga wenye akili ni wawili tuYani ukiwa shabiki wa Simba lazima na ubongo wako uwe sawasawa
Hapo ndio utaona hawa watu wameamua kushea akili ndogo na mashabiki wao. Yaani SP hawana haki lakini waliwa consult. Wanasema wakataka waweke SPLivescore, maana yake nini? Maana yake walijua ana haki ndio maana walituma maombi. Lakini hawaonyeshi baada ya kushindwana kwenye Visit Tz ilikuwaje wakaibuka na nembo nyingine. Hawaonyeshi kama walifikia muafaka wowote na mtu mwenye haki.Yanga kama waliona idea ya kwanza ya sportpesa imekataliwa na caf kwa nini hawakumshirikisha wakae watafute idea nyingine ya kuweka mbele ya jezi yao.
Ikiwa sportpesa hana haki za kukaa kwenye michuano ya kimataifa kwa nini hawakumtafuta mdhamkni mpya moja kwa moja. Wakachagua kuanza na sportpesa.
Janja nyuma ya iyo habari
Ungekuwa Una akili kubwa ungeleta hapa arguments za caf kupinga kuwa haizuii mdhamini kuwa mcheza kamari hatua za robo fainali, lkn tofauti yake umekuja na verse mliokaririshwi pindi mzidiwapo Kwa hoja.Washabiki wa hii timu mna akili ndogo Sana..na kila kitu nyie mnatetea.
mimi naijua hiyo team yako toka wewe uko kwenu nanjilinji..ubishi na kupenda kubishana ni asili ya asili ya hiyo team siku zote.Ungekuwa Una akili kubwa ungeleta hapa arguments za caf kupinga kuwa haizuii mdhamini kuwa mcheza kamari hatua za robo fainali, lkn tofauti yake umekuja na verse mliokaririshwi pindi mzidiwapo Kwa hoja.
Umeona ya Yanga tu? Kwani Simba hutumia rangi gani kuandika tamko?Yaan kwakua Yanga ni njano , na maandashi nayo ndo mmeamua yawe ya njano.
Kweli nyie ni wahuni
Hili lina ukweli kabisaa .mimi naijua hiyo team yako toka wewe uko kwenu nanjilinji..ubishi na kupenda kubishana ni asili ya asili ya hiyo team siku zote.
Umeamini kama tuliokuwa tunabishana humu ni viongozi wa Yanga? Ule hopeless arguments ndio zipo kwenye taarifaHiyo ndio hoja ya msingi ambayo hata mimi nili doubt kuwa lazima Yanga ndiye aliyekwenda against makubaliano
Kama jambo mlilianzia mezani kwa kushirikishana kwanini lisiishie mezani?
Msemaji wa SportPesa amesema kuwa walitoa proposal ya kutumia LiveScore kwenye jezi
Na Haier yeye awe amekosa?Imeisha hiyo angizeni jezi zingine mtuuzie angalau 80,000/-,zenye ubora Kama za Haier,ziandikwe Sportpesa watatulia
Bwana mjuajiHiyo ndio hoja ya msingi ambayo hata mimi nili doubt kuwa lazima Yanga ndiye aliyekwenda against makubaliano
Kama jambo mlilianzia mezani kwa kushirikishana kwanini lisiishie mezani?
Msemaji wa SportPesa amesema kuwa walitoa proposal ya kutumia LiveScore kwenye jezi
Yanga wakajibu pale pale kuwa hiyo haiwezekani kwasababu utakuwa una deal na kitu kile kile ambacho CAF wamekataza.
SportPesa wao wakadai wapewe majibu ya kimaandishi kutoka CAF na sio speculations za uongozi wa Yanga
Yanga wakaondoka, huku nyuma SportPesa wanasubiria majibu wakifikiri Yanga wataenda kutafiti kwenye vyanzo vya CAF wanastukia tu jezi inazinduliwa na mbele mdhamini ni HAIER
Yanga haikutumia busara na sijui kulikuwa na ulazima gani wa kufosi mpaka ufikie hatua ya ku shake uhusiano wako na mdhamini mkuu aliyeweka pesa nyingi over a little something stupid
Tufanye Yanga ni wajinga, Sportpesa wana akili kila kitu kipo kama unavyo taka wewe, faida yako ni nini?Nimesoma chapisho la Afisa Habari wao nime observe vitu kadhaa
Hoja yao kubwa wanadai mdhamini ana mipaka
Jambo ambalo tayari tumelisikia likielezwa na SportPesa kutambua sheria za CAF za kutohusisha mdhamini mwenye kujishughulisha na biashara ya betting
Sasa the way walivyolichukulia Yanga sidhani kama walifikiria sawa sawa.
Kwa mujibu wao ni kwamba mipaka ya mdhamini ni pamoja na kutokuwa na sauti yeyote au nguvu ya kuiamulia pamoja na kutoa approval kwa Club kwa pendekezo la mdhamini mwingine.
Kitu ambacho binafsi naona Yanga hawakuwa smart kwenye kutafsiri maana ya mipaka
Of course Ally Kamwe amefafanua vizuri na zipo nukta alizoelezea vyema ila conclusion aliyokuja nayo ni irrelevant.
Mipaka ya SportPesa kwenye jezi za under 17 inafahamika duniani kote lakini kuichukua hilo kama hoja ya kwenda kumtanhaza mdhamini mpya bila approval ya SportPesa hawakua sahihi.