Yanga inatakiwa iache kushiriki kwa kukariri

Hivi masabiki wa vyura mbona Hanna akili umesha ambiwa mo sio mfahdiri bali ni muwekezaji lakini huelewi .
 
Reactions: Tui
Mh. Kikwete alipowaambia wa baridiiii pia walimpinga,,!! [emoji3] hata kushangilia pia wanadai tunabebwa

Ivi nyie mnawajuwa Yanga?[emoji23]

Wanao pinga hapa ni wale Washangiliaji[emoji134] wa Yanga na sio mashabiki wa Yanga[emoji17].
 
MAKALA HII SIO YANGU MIMI ALLY MAYAY TEMBELE
Naomba aliyeiandika.na kuituma katika mitandao kisha kuandika jina la ALLY MAYAI TEMBELE ajitokeze maana inawezekana ikawa kuna mimi ALLY MAYAY TEMBELE na kuna mwingine anayeitwa ALLY MAYAI TEMBELE.
Wapo wengine hawajaniuliza kama ni mimi ndio nimeandika makala hii kwa kuwa wanajua aina ya maudhui ambayo.huwa natumia katika kuandika makala na namna.ya uwasilishaji.wa ujumbe tarajiwa lakini wengine wamekuwa wakiniuliza kama.ni mimi kweli ?
Sio mimi ALLY MAYAY Mchezaji wa soka niliyeandika makala hii,.kama hakutakuwa na ALLY MAYAI mwingine ambaye pia namuomba ajitokeze basi watakuwa ni watu walioamua kutumia.jina langu pengine ili
 
Mbona umekomaa na mo akifariki? kwani mo ataishi milele ndani ya dunia hii?,Siku zote mwanzo huwa ni mgumu lakini simba inaonesha njia sahihi, hata kesho mo akifariki au akaamua kuachana na simba atakuja mtu mwingine ambaye anaweza kufanya vizuri kuliko hata mo na klabu ikazidi kusonga.
Nikupe mfano labda utanielewa waliyo gundua ndege,gari,simu,elimu,bunduki na vitu ambavo ni muhimu katika maisha mwanadamu wa sasa hakuna aliye hai hata mmoja, lakini hivyo vitu bado vinatengenezwa tena kwa ubora wa hali ya juu kuliko vile vilivyo tengenezwa na wale walio vigundua.
Kwahiyo ni kweli mo anaweza kushidwa kuiendesha klabu akaamuwa ajiondoe simba lakini kwa sababu simba walisha tengeneza mfumo basi atakuja mwingine nyenye pesa zake atawekeza na wenda akawa ana weredi kuliko hata mo.
Mo atazidi kuheshimika kwa wana simba kwa sababu alituonesha njia kama wana simba ambayo tungetakiwa kuifuata zamani.
 
Ndio maana wanaitwa mbumbumbu maana wanatunga vitu visivyo na kichwa wala miguu poleni kwa aibu mnayoipata.
Ndio Manara kawashikia akili zenu.
 
Kawekeza pesa wewe unafikiri kawekeza matikiti?????
 
Wewe jamaa huna akili hata 0.eti Mo akifariki itakuweje!nikuulize swali dogo kupima uelewa wako!Mengi amefariki,waanzilishi/wamiliki wa kampuni wakifariki kampuni zao nazo zinafariki?

Unajua tofauti kati ya Mo Dewji na MeTL?unajua tofauti kati ya Manji na Quality Group? Kwa hiyo unasema GSM sio vizuri kukua kwa sababu mmiliki akifa na yenyewe inakufa?
 
Wajiita mabingwa wa kihistoria!!upuuzi kama huu hauna mfano
Makwasukasu ujinga umewazidi.Huwezi kuwasikia wapenzi wa Nottingham Forest wakijivunia eti walichukua Europa Cup.Kwani ni historia. Simba wangekuwa wajinga kama hawa Mbutembute FC wangetamba na ubingwa wa kihistoria wa CEFAFA kwenye vilabu lakini ujinga huo wamewaachia Migongo wazi.
 
Acha ujinga,pale ayupo Mo ila yapo makampuni ya Mo atakama akifa leo yale makampuni yataendeleza mkataba.
NB:KUNA TOFAUTI KUBWA KATI YA MO NA MANJI
 
Kaka nchi ina matatizo makubwa hii,kuanzia miundo mbinu mpaka miundombinu ya akili bure kabisa
Kwani mmiliki wa club ya Reicester city alivyofaliki team imeyumba? Mbona wabongo tunamawazo mgando namna hii
 
Kumbe unashauri tumfukuze mo tuanzishe bakuli kwa akili hizi ndiyo maana mnaitwa gongo wazi mnastahili
 
Mamluki lingine hili la Mikia halijua kwamba Mikia inaendeshwa na mmoja kama ilivyokuwa Yanga ya Manji
Kama ally mayai unamwita mamuluki sijui jakaya utamuita nani kwa kuwaita nyie ni wabaridi
 
Kumbe unashauri tumfukuze mo tuanzishe bakuli kwa akili hizi ndiyo maana mnaitwa gongo wazi mnastahili
We nae wa kukurupuka kama brother K kuna mahali nimeandika au kuwashauri mu mfukuze Mo? Kwanza uwezo huo wa kushauri nautoa wapi na ninaanzaje kwa mfano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…