Yanga inatakiwa iache kushiriki kwa kukariri

Yanga inatakiwa iache kushiriki kwa kukariri

Hoja zimeshinda umekimbilia typing error?
 
Kweli wewe ndio mbutembute haswa. ABAS TARIMBA alishiriki kama mwanachama wa Yanga sio kiongozi wa Sports Pesa.Simba Week ilikuwa inaitwa SIMBA Sports Pesa Week na walifanya shughuli pamoja. Simba walitembelea ofisi za Sports Pesa. Weka mifano Yanga walifanya nini na Sports Pesa???
Hio ni account ya sport pesa tz kitendo tu cha kupost hio picha ya tukio tayari wameshashiriki kwa namna moja ama nyingine usitake kutuongopea hapa , kama simba ina biashara kubwa kuliko yanga si wangewadhamini nyie peke yenu hapa Tanzania
Screenshot_20190815-161227.jpeg
 
Wameshiriki shughuli ipi???
Usinichoshe mzee huoni tangazo lao hilo la wiki ya mwananchi wewe unataka ushiriki wa aina gani tena kitendo tu cha kutupa promotion kwenye page yao ni indicator tosha kua wameshiriki kwa namna moja au nyingine tofauti na unavyotaka wewe iwe kua hawakufanya kitu chochote kile
 
Siku akifa Abromovich Chelsea itakufa, Akifa Kroenke Arsenal itakufa n.k n.k. Ndio maana mwandishi kasema mnaishi zama za nyuma badala ya kuishi leo.
Unajua Simba imepata shilingi ngapi kwenye hesabu zake za mwaka mzima kwenye michuano yote, Wadhamini n.k? Achaneni na story za akina Akilimali, endesheni timu kisasa muone kama mtaomba omba na kudaiwa na wachezaji.
Hakuna tajiri anayewekeza kwenye ubabaishaji, Simba Ikitengeneza mfumo mzuri wa Kikampuni matajiri watagombea kuwekeza.
Sitashangaa kama hamtobadilika Sportpesa wakiwadhamini Simba kwa Bilioni 1 Yanga Milioni 200.
mkuu, simba wameingiza sh. ngapi mwaka jana, ? maana nilisikia MO analalamika timu anaiendesha kwa hasara.
 
Namuongelea Mo kwa sababu ndiye mfano halisi na ame exist narudia tena natumia mfano wa kufariki kwa sababu Mo kwa simba ni damu 100% hawezi kuiacha kirahisi kama yupo hai hivyo natumia mfano wa kufariki kama ndio factor ambayo itamfanya jamaa asiwe na uhusiano wowote na simba sasa kama hutaki kuelewa na hapo basi) mpaka sasa hayo mambo ya watu wengine kuja baada ya Mo ni just prediction mzee,, na hata wakija hawawezi vuka level za Mo kwa sababu yeye ni simba damu japo kuna faida huenda akawa anapata simba lakini wengine watatanguliza biashara zaidi kuliko Mo aliyetanguliza mapenzi zaidi
Ndugu yangu wewe sio muelewa pamoja na mifano yote bado unabisha tu.
Na ndio maana nikatoa mifano ya waliiyo gundua vitu mbali mbali duniani hakuna aliye hai mpaka sasa lakini bado vinatengenezwa tena kwa ubora wa hali ya juu kuliko vile vilivyo tengenezwa na walio vigundua.
Kwa hiyo hata mo ni muanzilishi tu kwahiyo hata akiondoka atakuja mwingine ataendeleza aliyo yaanzisha mo tena kwa ubunifu mkubwa sana.
 
Tofautisha Abromovich na hao wote uliowataja ni wamiliki wa timu, Je Mo ni mmiliki wa simba? Kama Abromovich kwa chelsea au kina Glazer kwa Man utd

Ni hivi tunachoshangaa ni simba kuicheka yanga wakati wao hawajafanya lolote la maana zaidi ya huruma ya Mo kuwabeba siku Mo akibadilisha huruma yake piga ua ni lazima simba ita shake ukubali au ukatae huo ndio ukweli,

Issue nyingine pia ni mnasema hata akiondoka Mo watakuja watu wengine, hatukatai wanaweza kuja lakini je watakua kama Mo, ujue unapomsema Mo unamuongea tajiri namba moja Tz na tajiri kijana Afrika

Hatukatai wala uwezo wa kuwazuia msitucheke hatuna ila kutudharau na kutuona sisi ni vichwa maji na nyie ndio nyie wakati hamjafanya lolote la maana zaidi ya mapenzi ya Mo kwenu kuwabeba hapo ndo tunawaona vituko

Tofauti ya Mo na Abromovich ni nini?

Abromovich anamiliki Chelsea kupitia Hisa the same to Mo.Wanaitwa wamiliki sababu wana hisa nyingi. Siku wakichoka wanauza hisa zao wanamiliki wengine.

Kwanini umekomalia Mo akiondoka Simba itayumba? Nimekuuliza Katumbi kafukuzwa Congo miaka 3 yupo uhamishoni, Tp Mazembe inatembeza bakuli? Si walikuja na ndege yao Tanzania?

Mdau elewa uwekezaji sio hisani, MO hatoi hela kwa mapenzi yake, yupo kama mwekezaji anatoa apate. Huu ndio uendeshaji wa clubs kwa sasa duniani.
 
Asante sana Ali Mayai.
Wewe na mimi mawazo yetu yanafanana sana.
Angalau Simba Sports Club tumeshawapora klabu wababaishaji, tumeanza kutafuta njia ya kupita kuelekea mafanikio halisi ya mchezo wa soka.
Na Ally Mayai Tembele

Niliwahi kuandika Yanga inajidanganya yenyewe na kuishi kwa kivuli cha timu kubwa na kudhani labda dunia imesimama kumbe dunia inakimbia kwa kasi mno.

Nilisema Yanga imedumaa na Siku ikija kushtuka na kutaka kwenda sambamba na dunia itakuta tayari Simba imeliteka soko lote la Uchumi wa soka nchini.
Nilitoa mfano wa Juventus, Porto, Buyen Munich, Mazembe, Gor na Horoya kwamba timu hizi tayari zimejimilikisha Uchumi wa soka wa nchi zao. Leo hakuna mchezaji wa Kijerumani asiyetamani kuchezea Buyern. Au mchezaji anayezaliwa Italy ndoto yake kuu ni kucheza Juventus. Na tunakoelekea na Tanzania hali ndiko inakoelekea. Simba inajimilikisha kwa kasi ya ajabu uchumi wa soka.
Yanga wamebaki kujivunia juzi na jana na sio leo na kibaya zaidi sioni kesho yao.
Kama Kuna kosa kubwa kuliko yote linafanyika ni pale wanapobeza mafanikio ya Simba na kuwaponda mwekezaji wa Muhamed Dewj. Wamekuwa wakitafuta mapungufu machache yaliyopo Simba na kuyafanya ndio agenda yao. Wamesahau kabisa kuitazama timu yao na mkwamo uliopo wameamua kuitukuza Simba na kuitaja aidha kwa mapungufu au kuwabeza Kama watani. Wanasahau hapa wao wenyewe ndio wanaikuza brand ya Simba na kuifanya kutajwa mno midomoni kila siku.

Leo Yanga hawana hata Jambo Moja wanaloweza kupambana na Simba aidha ndani au nje ya Uwanja. Wamezidiwa kila udara na itawachukua muda mrefu mno kufikia Simba ilipo Sasa.
Yanga hawajakubali bado kubadilisha mfumo wao wa uendeshaji wa timu kutoka wa kizamani na wa kiholela kuja kwenye mfumo wa kisasa na hii inasababishwa na walaghai tena wezi wa jasho la wachezaji kuwahadaa ni timu ya wananchi na wasikubali mwekezaji kwa kuwa timu itakuwa si Mali yao Tena. Huu ndio uongo uliotukuka wanaoutumia walaghai kuendelea kujinufaisha kupitia klabu hii.
Embu tujiulize nyie wapenzi na mashabiki wa Yanga lini mlinunuliwa hata soda na klabu zaidi ya nyie kuchangishwa? Sasa hicho mnachoaminishwa mtakipoteza ni kipi? Wanaoogopa kupoteza ni wale akina fulani ambao maisha yao yanategemea timu kuendelea kuishi mjini. Na hawa huwa hawachangii zaidi ya kuwa mstari wa mbele kuhamasisha ili wazizungukie mlango wa nyuma wakaziibe. Sisi tunaochanga Wala hatuna Cha kupoteza

Nahisi kwenye miaka ya sitini ni kweli mashabiki wa Yanga labda walikuwa wengi kuliko wa Simba na mkabweteka na mkasahau watu wanazaliwa na kufa. Nimebahatika kwenda karibu viwanja vyote vya soka nchini. Nawahakikishia kwa sasa Simba Ina mashabiki wengi kuliko timu zote nchini.
ENDELEENI KULALA MKIAMKA TAYARI JUA LITAKUWA LINAZAMA.
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Tofauti ya Mo na Abromovich ni nini?

Abromovich anamiliki Chelsea kupitia Hisa the same to Mo.Wanaitwa wamiliki sababu wana hisa nyingi. Siku wakichoka wanauza hisa zao wanamiliki wengine.

Kwanini umekomalia Mo akiondoka Simba itayumba? Nimekuuliza Katumbi kafukuzwa Congo miaka 3 yupo uhamishoni, Tp Mazembe inatembeza bakuli? Si walikuja na ndege yao Tanzania?

Mdau elewa uwekezaji sio hisani, MO hatoi hela kwa mapenzi yake, yupo kama mwekezaji anatoa apate. Huu ndio uendeshaji wa clubs kwa sasa duniani.
Huoni tofauti kati ya Mo na Abramovich? Acha utani wewe Abramovich ile timu kainunua mwenyewe kwa ela yake miaka ya 2003 huko kweli huoni tofauti mzee au unaongelea ushabiki, Tp mazembe kumbuka ni ya huyo huyo Katumbi mwenyewe , kuwe na mfumo wa hisa au hakuna ila Abramovich ndiye mwenye timu ya chelsea tofauti na huku simba,

Kwani simba ni timu ya Mo? kainunua au kaanza kuimiliki mwaka gani, navojua mimi simba ilikua kama yanga tu timu ya wananchi hasa ukiniambia huoni tofauti kati ya Abramovich na Mo nakushangaa sana sababu Abramovich muda wowote hata huyo katumbi wakiamua kuziuza hizo timu wanaweza je Mo anaweza kuiuza simba akiamua?

Afu labda lugha ndio imekuchanganya naposema Mo kuondoka namaanisha hata akibadilisha maamuzi au kutoendelea na huo unaouita uwekezaji... Sasa suala la kusema kusema nimekazania hapa Mo akiondoka hio ndio hoja yangu ukitaka niache kusimamia hapo basi tusingekua tunajadili hapa maana ake wote tungekua side moja
 
Ndugu yangu wewe sio muelewa pamoja na mifano yote bado unabisha tu.
Na ndio maana nikatoa mifano ya waliiyo gundua vitu mbali mbali duniani hakuna aliye hai mpaka sasa lakini bado vinatengenezwa tena kwa ubora wa hali ya juu kuliko vile vilivyo tengenezwa na walio vigundua.
Kwa hiyo hata mo ni muanzilishi tu kwahiyo hata akiondoka atakuja mwingine ataendeleza aliyo yaanzisha mo tena kwa ubunifu mkubwa sana.
Uanchoongea upo sahihi lakini bahati mbaya naweza kusema umesahau uhalisia na sehemu husika tulipo kwa dunia yetu huku Tz sio kwamba haiwezekani lakini ni ngumu sana kutokea ni vizuri tuwe na positive mind lakini pia tusisahau uhalisia factor za kuzuia au kuchelewesha hichi kitu zipo nyingi sana na sio internal factor peke yake kwamba kisa misingi mizuri ipo ndani ya club basi wadhamini wanakuja tu, usisahau kuna external factor pia mfano mdogo angalia ligi ya msimu uliopita ilivokua na mauza uza je kuna mdhamini ambaye ataleta udhamini mnono kwa timu fulani wakati brand ya ligi yake haieleweki,, sisemei hivi ili kupinga ulichokiandika hapana nasema hivi ili kwa jicho la tatu uone mbali kua kitu alichokifanya Mo hata kama ni kibiashara lakini pia na mapenzi binafsi ya kwake yamehusika, narudia tena kwenye point yako sio kwamba haiwezekani simba kupata mtu au kampuni nyingine zaidi ya Mo inawezekana lakini ni ngumu sana na si rahisi kama unavyodhani
 
Mtu anaishi kwa assumption. Fulani akiwa hivi itakuwa hivi.Watu wameshapita huko.Stori za Ali Nacha dereva akizimia gari litapinduka.
Assumption sio sawa na reality.
 
Kama huo mfumo unawapa Simba mafanikio ni bora kuliko Kutembeza bakuli

Vp wanaotegemea wananchi? .
Tofauti ya simba na yanga kwa sasa ni Mo dewji trust mkuu yanga hawana mtu kama Mo dewji ndio maana tuna struggle kujiendesha wenyewe mfano ikiwatokea situation kama yetu mkakosa mtu kam Mo dewji ni lazima mtachangishana tu huo ndio uhalisia
 
Back
Top Bottom