Yanga inatakiwa iache kushiriki kwa kukariri

Hoja zimeshinda umekimbilia typing error?
 
Hio ni account ya sport pesa tz kitendo tu cha kupost hio picha ya tukio tayari wameshashiriki kwa namna moja ama nyingine usitake kutuongopea hapa , kama simba ina biashara kubwa kuliko yanga si wangewadhamini nyie peke yenu hapa Tanzania
 
Wameshiriki shughuli ipi???
Usinichoshe mzee huoni tangazo lao hilo la wiki ya mwananchi wewe unataka ushiriki wa aina gani tena kitendo tu cha kutupa promotion kwenye page yao ni indicator tosha kua wameshiriki kwa namna moja au nyingine tofauti na unavyotaka wewe iwe kua hawakufanya kitu chochote kile
 
mkuu, simba wameingiza sh. ngapi mwaka jana, ? maana nilisikia MO analalamika timu anaiendesha kwa hasara.
 
Ndugu yangu wewe sio muelewa pamoja na mifano yote bado unabisha tu.
Na ndio maana nikatoa mifano ya waliiyo gundua vitu mbali mbali duniani hakuna aliye hai mpaka sasa lakini bado vinatengenezwa tena kwa ubora wa hali ya juu kuliko vile vilivyo tengenezwa na walio vigundua.
Kwa hiyo hata mo ni muanzilishi tu kwahiyo hata akiondoka atakuja mwingine ataendeleza aliyo yaanzisha mo tena kwa ubunifu mkubwa sana.
 

Tofauti ya Mo na Abromovich ni nini?

Abromovich anamiliki Chelsea kupitia Hisa the same to Mo.Wanaitwa wamiliki sababu wana hisa nyingi. Siku wakichoka wanauza hisa zao wanamiliki wengine.

Kwanini umekomalia Mo akiondoka Simba itayumba? Nimekuuliza Katumbi kafukuzwa Congo miaka 3 yupo uhamishoni, Tp Mazembe inatembeza bakuli? Si walikuja na ndege yao Tanzania?

Mdau elewa uwekezaji sio hisani, MO hatoi hela kwa mapenzi yake, yupo kama mwekezaji anatoa apate. Huu ndio uendeshaji wa clubs kwa sasa duniani.
 
Asante sana Ali Mayai.
Wewe na mimi mawazo yetu yanafanana sana.
Angalau Simba Sports Club tumeshawapora klabu wababaishaji, tumeanza kutafuta njia ya kupita kuelekea mafanikio halisi ya mchezo wa soka.
 
Reactions: Tui
Huoni tofauti kati ya Mo na Abramovich? Acha utani wewe Abramovich ile timu kainunua mwenyewe kwa ela yake miaka ya 2003 huko kweli huoni tofauti mzee au unaongelea ushabiki, Tp mazembe kumbuka ni ya huyo huyo Katumbi mwenyewe , kuwe na mfumo wa hisa au hakuna ila Abramovich ndiye mwenye timu ya chelsea tofauti na huku simba,

Kwani simba ni timu ya Mo? kainunua au kaanza kuimiliki mwaka gani, navojua mimi simba ilikua kama yanga tu timu ya wananchi hasa ukiniambia huoni tofauti kati ya Abramovich na Mo nakushangaa sana sababu Abramovich muda wowote hata huyo katumbi wakiamua kuziuza hizo timu wanaweza je Mo anaweza kuiuza simba akiamua?

Afu labda lugha ndio imekuchanganya naposema Mo kuondoka namaanisha hata akibadilisha maamuzi au kutoendelea na huo unaouita uwekezaji... Sasa suala la kusema kusema nimekazania hapa Mo akiondoka hio ndio hoja yangu ukitaka niache kusimamia hapo basi tusingekua tunajadili hapa maana ake wote tungekua side moja
 
Uanchoongea upo sahihi lakini bahati mbaya naweza kusema umesahau uhalisia na sehemu husika tulipo kwa dunia yetu huku Tz sio kwamba haiwezekani lakini ni ngumu sana kutokea ni vizuri tuwe na positive mind lakini pia tusisahau uhalisia factor za kuzuia au kuchelewesha hichi kitu zipo nyingi sana na sio internal factor peke yake kwamba kisa misingi mizuri ipo ndani ya club basi wadhamini wanakuja tu, usisahau kuna external factor pia mfano mdogo angalia ligi ya msimu uliopita ilivokua na mauza uza je kuna mdhamini ambaye ataleta udhamini mnono kwa timu fulani wakati brand ya ligi yake haieleweki,, sisemei hivi ili kupinga ulichokiandika hapana nasema hivi ili kwa jicho la tatu uone mbali kua kitu alichokifanya Mo hata kama ni kibiashara lakini pia na mapenzi binafsi ya kwake yamehusika, narudia tena kwenye point yako sio kwamba haiwezekani simba kupata mtu au kampuni nyingine zaidi ya Mo inawezekana lakini ni ngumu sana na si rahisi kama unavyodhani
 
Mtu anaishi kwa assumption. Fulani akiwa hivi itakuwa hivi.Watu wameshapita huko.Stori za Ali Nacha dereva akizimia gari litapinduka.
Assumption sio sawa na reality.
 
Kama huo mfumo unawapa Simba mafanikio ni bora kuliko Kutembeza bakuli

Vp wanaotegemea wananchi? .
Tofauti ya simba na yanga kwa sasa ni Mo dewji trust mkuu yanga hawana mtu kama Mo dewji ndio maana tuna struggle kujiendesha wenyewe mfano ikiwatokea situation kama yetu mkakosa mtu kam Mo dewji ni lazima mtachangishana tu huo ndio uhalisia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…