Yanga inatakiwa iache kushiriki kwa kukariri

Yanga inatakiwa iache kushiriki kwa kukariri

Jibu, kawekeza nini? Hivi unaelewa mikia ina shilingi ngapi kwenye bank account? Kweli Kilomoni kawazidi akili
Wewe unaelewa kwenye account ya Tp Mazembe kuna shilingi ngapi? Unaonyesha mweupe sana kwenye hii kitu mkuu. Katumbi alifukuzwa Congo na Kabila miaka 3 alikua uhamishoni, Vp Mazembe walitembeza Bakuli?

Unafikiri MO anajitolea pale Simba? Mkiambiwa mpo nyuma hamkubali. Dunia inaenda mbele achaneni na story za timu ya wananchi. Simba inaenda kwenye mifumo ya club za dunia ya sasa. Ukienda club kubwa kwa sasa unakutana na majina kama Abromovich, Glazier, Kroenke, Katumbi n.k

Kipindi kile Manji anataka kubadilisha mfumo wa Uendeshaji Yanga akina Akilimali walileta kelele anawapora timu, Vp mpo wapi now na timu yenu?

Mnashindwa hata na KMC. Mnadaiwa na wachezaji, makocha. Hamjui hata mkivuka round ya sasa CAF nauli mtapata wapi.

Simba ikienda hivi miaka mitano mbeleni itakua level nyingine.
 
Wewe jamaa huna akili hata 0.eti Mo akifariki itakuweje!nikuulize swali dogo kupima uelewa wako!Mengi amefariki,waanzilishi/wamiliki wa kampuni wakifariki kampuni zao nazo zinafariki?

Unajua tofauti kati ya Mo Dewji na MeTL?unajua tofauti kati ya Manji na Quality Group? Kwa hiyo unasema GSM sio vizuri kukua kwa sababu mmiliki akifa na yenyewe inakufa?
We mwenyewe huna akili vilevile tena wewe ni kiazi kabisa maana Mo mwenyewe kasema anafanya haya kwa mapenzi yake yeye binafsi, connection ya makampuni yake na mkia fc ni kwa sababu ya Mo mwenyewe kuwepo na kuzimiliki hizo kampuni sasa nakuita kiazi kwa sababu hakuna sehemu nimeandika kua Mo akifariki na kampuni zake zinakufa hapana kitu nilochokiandika mimi ni mfano Mo akifariki (na hapa ninatoelea mfano akifariki kwa sababu kwa mapenzi ya Mo kwa simba akiwa bado yupo hai hawezi kuiacha kirahisi rahisi) katika kampuni zake kutakua na mtu mwenye interest kama za Mo kwa simba, hicho ndicho nilichokimanisha mimi sasa nashangaa mzee unatoa povu kama lote , kampuni zitakuepo hata Mo akifariki (hapa hatumuombei kifo hapana ni mfano) kubaki kwa kampuni sio kwamba ndio kuta guarantee kua bado watabaki kua watu wa simba hapana, ukija na akili za usiku huwezi kuelewe namaanisha nini,
 
Makwasukasu ujinga umewazidi.Huwezi kuwasikia wapenzi wa Nottingham Forest wakijivunia eti walichukua Europa Cup.Kwani ni historia. Simba wangekuwa wajinga kama hawa Mbutembute FC wangetamba na ubingwa wa kihistoria wa CEFAFA kwenye vilabu lakini ujinga huo wamewaachia Migongo wazi.
We jamaa kweli nyani haoni kundule nyie kufika tu robo fainali msimu uliopita ilikua tabu mzungu wenu kutwa kucha taarabu instagram huko utadhani kufika robo fainali ndio kuchukua kombe, unashangaa yanga kujiita mabingwa wa kihistoria ila ushangai manara kujitapa simba koko ndio timu ya kwanza kuvaa viatu na jezi [emoji16][emoji23] kweli kila muomba chumvi huombea chungu chake
 
Mbona umekomaa na mo akifariki? kwani mo ataishi milele ndani ya dunia hii?,Siku zote mwanzo huwa ni mgumu lakini simba inaonesha njia sahihi, hata kesho mo akifariki au akaamua kuachana na simba atakuja mtu mwingine ambaye anaweza kufanya vizuri kuliko hata mo na klabu ikazidi kusonga.
Nikupe mfano labda utanielewa waliyo gundua ndege,gari,simu,elimu,bunduki na vitu ambavo ni muhimu katika maisha mwanadamu wa sasa hakuna aliye hai hata mmoja, lakini hivyo vitu bado vinatengenezwa tena kwa ubora wa hali ya juu kuliko vile vilivyo tengenezwa na wale walio vigundua.
Kwahiyo ni kweli mo anaweza kushidwa kuiendesha klabu akaamuwa ajiondoe simba lakini kwa sababu simba walisha tengeneza mfumo basi atakuja mwingine nyenye pesa zake atawekeza na wenda akawa ana weredi kuliko hata mo.
Mo atazidi kuheshimika kwa wana simba kwa sababu alituonesha njia kama wana simba ambayo tungetakiwa kuifuata zamani.
Namuongelea Mo kwa sababu ndiye mfano halisi na ame exist narudia tena natumia mfano wa kufariki kwa sababu Mo kwa simba ni damu 100% hawezi kuiacha kirahisi kama yupo hai hivyo natumia mfano wa kufariki kama ndio factor ambayo itamfanya jamaa asiwe na uhusiano wowote na simba sasa kama hutaki kuelewa na hapo basi) mpaka sasa hayo mambo ya watu wengine kuja baada ya Mo ni just prediction mzee,, na hata wakija hawawezi vuka level za Mo kwa sababu yeye ni simba damu japo kuna faida huenda akawa anapata simba lakini wengine watatanguliza biashara zaidi kuliko Mo aliyetanguliza mapenzi zaidi
 
Hujielewi wapi nimezungumzia SIMBA kufika robo fainali? Soma halafu elewa kinachozungumziwa.Manara huwa anatoa mifano kwamba Simba wametangulia kwenye mengi lakini hawazungumzii hiyo historia. Umewahi kusikia kwingine mabingwa wa kihistoria???Au ni Mbutembute tu???
 
We mwenyewe huna akili vilevile tena wewe ni kiazi kabisa maana Mo mwenyewe kasema anafanya haya kwa mapenzi yake yeye binafsi, connection ya makampuni yake na mkia fc ni kwa sababu ya Mo mwenyewe kuwepo na kuzimiliki hizo kampuni sasa nakuita kiazi kwa sababu hakuna sehemu nimeandika kua Mo akifariki na kampuni zake zinakufa hapana kitu nilochokiandika mimi ni mfano Mo akifariki katika kampuni zake kutakua na mtu mwenye interest kama za Mo kwa simba, hicho ndicho nilichokimanisha mimi sasa nashangaa mzee unatoa povu kama lote , kampuni zitakuepo hata Mo akifariki (hapa hatumuombei kifo hapana ni mfano) kubaki kwa kampuni sio kwamba ndio kuta guarantee kua bado watabaki kua watu wa simba hapana, ukija na akili za usiku huwezi kuelewe namaanisha nini,
Siku akifa Abromovich Chelsea itakufa, Akifa Kroenke Arsenal itakufa n.k n.k. Ndio maana mwandishi kasema mnaishi zama za nyuma badala ya kuishi leo.

Unajua Simba imepata shilingi ngapi kwenye hesabu zake za mwaka mzima kwenye michuano yote, Wadhamini n.k? Achaneni na story za akina Akilimali, endesheni timu kisasa muone kama mtaomba omba na kudaiwa na wachezaji.

Hakuna tajiri anayewekeza kwenye ubabaishaji, Simba Ikitengeneza mfumo mzuri wa Kikampuni matajiri watagombea kuwekeza.

Sitashangaa kama hamtobadilika Sportpesa wakiwadhamini Simba kwa Bilioni 1 Yanga Milioni 200.
 
Tofautisha Abromovich na hao wote uliowataja ni wamiliki wa timu, Je Mo ni mmiliki wa simba? Kama Abromovich kwa chelsea au kina Glazer kwa Man utd

Ni hivi tunachoshangaa ni simba kuicheka yanga wakati wao hawajafanya lolote la maana zaidi ya huruma ya Mo kuwabeba siku Mo akibadilisha huruma yake piga ua ni lazima simba ita shake ukubali au ukatae huo ndio ukweli,

Issue nyingine pia ni mnasema hata akiondoka Mo watakuja watu wengine, hatukatai wanaweza kuja lakini je watakua kama Mo, ujue unapomsema Mo unamuongea tajiri namba moja Tz na tajiri kijana Afrika

Hatukatai wala uwezo wa kuwazuia msitucheke hatuna ila kutudharau na kutuona sisi ni vichwa maji na nyie ndio nyie wakati hamjafanya lolote la maana zaidi ya mapenzi ya Mo kwenu kuwabeba hapo ndo tunawaona vituko
 
Hushangai Sports Pesa waliamua kushiriki kwenye Simba Week na sio Week ya wananchi???Pamoja na kwamba wanadhamini timu zote mbili?
Wanajua wapi soko lipo.
 
Hujielewi wapi nimezungumzia SIMBA kufika robo fainali? Soma halafu elewa kinachozungumziwa.Manara huwa anatoa mifano kwamba Simba wametangulia kwenye mengi lakini hawazungumzii hiyo historia. Umewahi kusikia kwingine mabingwa wa kihistoria???Au ni Mbutembute tu???
Wewe ndio hujielewi wapi nimesema wewe ndio umezungumzia hio 1/4 wakati nimmemtaja kabisa kua ni Manara poor simba koko mbumbumbu fc
 
Hiyo aya ya mwisho una maana gani,?Rudia kusoma mwenyewe halafu rudi hapa ujaribu kuelezea una maana gani?
 
Hushangai Sports Pesa waliamua kushiriki kwenye Simba Week na sio Week ya wananchi???Pamoja na kwamba wanadhamini timu zote mbili?
Wanajua wapi soko lipo.
Acha uongo wewe wiki ya mwananchi kuna kiongozi wa sport pesa kanunua jezi ya Yanga kwa ela ndefu tu sasa hapo hajashiriki?
 
Mada ilikuwa nini?Naona unatamia tu.Taga kwanza halafu urudi.
 
Hiyo aya ya mwisho una maana gani,?Rudia kusoma mwenyewe halafu rudi hapa ujaribu kuelezea una maana gani?
U quote uzi humu nimetoa comment kibao ukiniambia hivi sijui unaongelea comment ipi
 
Acha uongo wewe wiki ya mwananchi kuna kiongozi wa sport pesa kanunua jezi ya Yanga kwa ela ndefu tu sasa hapo hajashiriki?
Kweli wewe ndio mbutembute haswa. ABAS TARIMBA alishiriki kama mwanachama wa Yanga sio kiongozi wa Sports Pesa.Simba Week ilikuwa inaitwa SIMBA Sports Pesa Week na walifanya shughuli pamoja. Simba walitembelea ofisi za Sports Pesa. Weka mifano Yanga walifanya nini na Sports Pesa???
 
Tofautisha Abromovich na hao wote uliowataja ni wamiliki wa timu, Je Mo ni mmiliki wa simba? Kama Abromovich kwa chelsea au kina Glazer kwa Man utd

Ni hivi tunachoshangaa ni simba kuicheka yanga wakati wao hawajafanya lolote la maana zaidi ya huruma ya Mo kuwabeba siku Mo akibadilisha huruma yake piga ua ni lazima simba ita shake ukubali au ukatae huo ndio ukweli,

Issue nyingine pia ni mnasema hata akiondoka Mo watakuja watu wengine, hatukatai wanaweza kuja lakini je watakua kama Mo, ujue unapomsema Mo unamuongea tajiri namba moja Tz na tajiri kijana Afrika

Hatukatai wala uwezo wa kuwazuia msitucheke hatuna ila kutudharau na kutuona sisi ni vichwa maji na nyie ndio nyie wakati hamjafanya lolote la maana zaidi ya mapenzi ya Mo kwenu kuwabeba hapo ndo tunawaona vituko
Hatukataii wala uwezo wa kuwazuia msitucheke hatuna ndio nini???Jifunze kuandika mgongo wazi.
 
Hushangai Sports Pesa waliamua kushiriki kwenye Simba Week na sio Week ya wananchi???Pamoja na kwamba wanadhamini timu zote mbili?
Wanajua wapi soko lipo.Hata Abas Tarimba aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa Yanga humjui?Umeanza kupenda Yanga 2016??Nisije nikawa nalumbana na mtoto wa miaka 12.
 
Mbona umekomaa na mo akifariki? kwani mo ataishi milele ndani ya dunia hii?,Siku zote mwanzo huwa ni mgumu lakini simba inaonesha njia sahihi, hata kesho mo akifariki au akaamua kuachana na simba atakuja mtu mwingine ambaye anaweza kufanya vizuri kuliko hata mo na klabu ikazidi kusonga.
Nikupe mfano labda utanielewa waliyo gundua ndege,gari,simu,elimu,bunduki na vitu ambavo ni muhimu katika maisha mwanadamu wa sasa hakuna aliye hai hata mmoja, lakini hivyo vitu bado vinatengenezwa tena kwa ubora wa hali ya juu kuliko vile vilivyo tengenezwa na wale walio vigundua.
Kwahiyo ni kweli mo anaweza kushidwa kuiendesha klabu akaamuwa ajiondoe simba lakini kwa sababu simba walisha tengeneza mfumo basi atakuja mwingine nyenye pesa zake atawekeza na wenda akawa ana weredi kuliko hata mo.
Mo atazidi kuheshimika kwa wana simba kwa sababu alituonesha njia kama wana simba ambayo tungetakiwa kuifuata zamani.
MO anatengeneza mfumo tegemezi simba, Kumtegemea Yeye
 
Back
Top Bottom