OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Yanga ni klabu kongwe lakini haina chochote mbele ya uso wa soka la kimataifa. Ni kama pilipili hoho tu kubwa lakini haliwashi. Katika miaka ya hivi karibuni imekuwa ikichezea vichapo hata kwenye michezo ya kimataifa ya kirafiki. Ikumbukwe tangu kocha Nabi ajiunge hajawahi kifunga mechi yeyote ya kimataifa. Hata ukirudi nyuma kocha Zahera na Kaze bado walikuwa wanapelekewa moto tu.
Kifupi inanipotezea muda kujua mara ya mwisho kushinda mechi ya kimataifa ni lini,maana inahitaji kigugo taratibu.
Kwenye anga za kimataifa, Simba ni tamu, ni kinara kati ya wawakilishi wa Tanzania na Afrika Mashariki na Kati kwenye anga hizo ikiwazidi ujanja kwa mbali sana Yanga. Sina haja ya kuweka stori ndefu kwa sababu records za Simba zinajulikana.
Kiufupi ni moja ya Giants Afrika. Kwa sasa iko Sudani ikitumbuiza watu wa Sudani kabla ya kurudisha sukari hapa Bongo.
Kwa ujumla record hizo za Simba zinafanya timu zingine Afrika ziingiwe uoga kudhani hata Yanga wanasakata kambumbu. Kumbe hakuna lolote ni kutembelea nyota ya Simba tu.
Leo hii inaaminika Yanga itaifunga timu ya Sudan. Sio kwa sababu ya kiwango cha Yanga bali ni kwa vile mbina Simba huwa wanapiga? Isingekuwa hivyo basi Yanga wasingefungwa na Under 20 ya Somalia au Vipers.
Yaani Yanga ni kama Mboso au Lavalava kutembelea nyota ya Diamond. Ushauri wangu ni kwamba ukipata fursa ya kutembelea nyota ya mwenzio basi kuwa na nidhamu, kaza na ujifunze. Unaweza kufika mbali.