Yanga inatembelea Nyota ya Simba kimataifa, iwe na nidhamu

Yanga inatembelea Nyota ya Simba kimataifa, iwe na nidhamu

Tunachofurahi pa1 na ubovu wa timu yenu bado mnajidanganya ni magiant eti,jiyo ndio furaha yetu
Yaani nchi hii Ina baadhi ya watu wahovyo kabisa, Mtu anaingia kwenye mitandao ya kijamii anasema Simba kubwa imemfunga Ahly, inashika nafasi ya 10 Afrika, CEO wetu anapiga picha na watu maarufu.

Ivi kweli kama si ujuha Nini!![emoji3][emoji3][emoji3]
Ivi klabu gani kubwa Barani Afrika inawaza kuwa Kuna Simba apa Afrika ita tetemeshwa nayo!!![emoji3][emoji3]
Klabu kubwa inashindwa kumsajili/Kuvunja mkataba wa Dola 200,000!!!
Klabu kubwa katika mlolongo wa target za usajili kati ya wachezaji 5 ilio wakusudia inawakosa wote,ata wale wa chaguo la pili inawakosa wote.
Klabu kubwa Mbaka Sasa Haina kikosi Cha kwanza kocha bado anahangaika kuunda kikosi chake!!
Ikiwa apa Tanzania hujawahi kuwa kubwa yaani Simba ni Klabu yapili Kwa umaaru apa nchini na si Ukubwa, tumekubaliana ukubwa ni Makombe.
Yaani klabu kubwa inamgombea Habib Kyombo na Singida Big stars?
Acheni uo upuuzi Simba Kwa namna inavyo endeshwa haiwezi kuwa klabu kubwa si tu apa Nchi ila uko Nje yanchi ndio wasahau kabisa.
Ata wawe wanawasha moto wa kichawi kwenye viwanja vya ugenini nje ya nchi na kubeba mapaka Kabla ya mechi haiwasaidii Ina liletea Taifa aibu.
Mkuu usiwashtue hao mbu3,huo ujinga wao ni manufaa makubwa sana kwa Yanga,waache waendelee kuamini propaganda za viongozi wao
 
Hakuna timu kubwa yoyote Duniani ambayo Mashabiki wake Wana jitutumua Kwa ukubwa walionao, Mpira wa miguu principal zake ziko wazi. Ukubwa wa timu ni Makombe, huwezi kusema wewemkunwa kwakua uliwahi kumfunga bingwa Fulani.
Ukubwa watimu haulazimishwi Kwa kujitutumua mitandaoni, ukubwa ni vikombe tu.
Yanga ni wakubwa kuliko klabu yoyote nchini na ukubwa wao ni Makombe waliyonayo na kumtandika na kumyanyasa mpinzani wake Simba anavyotaka.
Team kubwa zipo kwenye Ranking usipige kelele nenda kaangalie CAF club ranking itakuambia team kubwa ni zipi ukikuta team yako hata top 50 haipo hiyo ni TAKATAKA tu ,ni SAWA na mwanafunzi primary au secondary anayejivunia kufaulu mtihani wa ndani wakati mtihani wa taifa anafeli .mpira Dunia nzima unakipimo chake ,kombe la Dunia ,UEFA EURO,UEFA champions league,CAF champions league,etc makombe ya ndani ni ticket tu Ya kushiriki michuano ya wakubwa sio watoto nothing else.
 
Ukubwa wa timu ni makombe we mbumbumbu uelezwe nn uelewe?
 
Team kubwa zipo kwenye Ranking usipige kelele nenda kaangalie CAF club ranking itakuambia team kubwa ni zipi ukikuta team yako hata top 50 haipo hiyo ni TAKATAKA tu ,ni SAWA na mwanafunzi primary au secondary anayejivunia kufaulu mtihani wa ndani wakati mtihani wa taifa anafeli .mpira Dunia nzima unakipimo chake ,kombe la Dunia ,UEFA EURO,UEFA champions league,CAF champions league,etc makombe ya ndani ni ticket tu Ya kushiriki michuano ya wakubwa sio watoto nothing else.
Ranking inakusaidia nini kama hauna kombe?
 
Hapa ndipo naona ukubwa wa Simba ulipo maaana haiwazi tena kuna Yanga inawaza mbele hukoo inakutana na nani ila yanga makopo wao wanawaza watamfungaje Simba imara. Ndo maana mko mkiani kwenye ramani ya Africa kisoka
Hivi nyie hukoo kimataifa mna kombe gani la kumtambia YANGA? au ndo kumbwelaa tu na ahsante kwa kushiriki
 
Yaani mashabiki wa simba ndani ya hizi siku 2 sijui wamepitiwa na upepo wa aina gani! Maana wanakuja na mada ambazo hazina kichwa, wala miguu!
Mara kadhaa wamekuwa wakiilinganisha timu isiyo wahusu ya Yanga na wachezaji wake, dhidi ya vitu visivyo eleweka!


Au ndiyo homa ya mchezo dhidi ya Nyasa Big Bullets imeanza kuwapeleka puta!! Badala ya kujadili madhaifu ya kikosi chao! Wao wako busy kuleta vichekesho humu jukwaani!!

Hivi wanaweza wakatolewa kwenye hatua ya awali eti!!! 😁😁😁 Time will tell.
time will tell
 
Back
Top Bottom