Yaani nchi hii Ina baadhi ya watu wahovyo kabisa, Mtu anaingia kwenye mitandao ya kijamii anasema Simba kubwa imemfunga Ahly, inashika nafasi ya 10 Afrika, CEO wetu anapiga picha na watu maarufu.
Ivi kweli kama si ujuha Nini!![emoji3][emoji3][emoji3]
Ivi klabu gani kubwa Barani Afrika inawaza kuwa Kuna Simba apa Afrika ita tetemeshwa nayo!!![emoji3][emoji3]
Klabu kubwa inashindwa kumsajili/Kuvunja mkataba wa Dola 200,000!!!
Klabu kubwa katika mlolongo wa target za usajili kati ya wachezaji 5 ilio wakusudia inawakosa wote,ata wale wa chaguo la pili inawakosa wote.
Klabu kubwa Mbaka Sasa Haina kikosi Cha kwanza kocha bado anahangaika kuunda kikosi chake!!
Ikiwa apa Tanzania hujawahi kuwa kubwa yaani Simba ni Klabu yapili Kwa umaaru apa nchini na si Ukubwa, tumekubaliana ukubwa ni Makombe.
Yaani klabu kubwa inamgombea Habib Kyombo na Singida Big stars?
Acheni uo upuuzi Simba Kwa namna inavyo endeshwa haiwezi kuwa klabu kubwa si tu apa Nchi ila uko Nje yanchi ndio wasahau kabisa.
Ata wawe wanawasha moto wa kichawi kwenye viwanja vya ugenini nje ya nchi na kubeba mapaka Kabla ya mechi haiwasaidii Ina liletea Taifa aibu.