Yanga inatembelea Nyota ya Simba kimataifa, iwe na nidhamu

Tunachofurahi pa1 na ubovu wa timu yenu bado mnajidanganya ni magiant eti,jiyo ndio furaha yetu
Mkuu usiwashtue hao mbu3,huo ujinga wao ni manufaa makubwa sana kwa Yanga,waache waendelee kuamini propaganda za viongozi wao
 
Team kubwa zipo kwenye Ranking usipige kelele nenda kaangalie CAF club ranking itakuambia team kubwa ni zipi ukikuta team yako hata top 50 haipo hiyo ni TAKATAKA tu ,ni SAWA na mwanafunzi primary au secondary anayejivunia kufaulu mtihani wa ndani wakati mtihani wa taifa anafeli .mpira Dunia nzima unakipimo chake ,kombe la Dunia ,UEFA EURO,UEFA champions league,CAF champions league,etc makombe ya ndani ni ticket tu Ya kushiriki michuano ya wakubwa sio watoto nothing else.
 
Ukubwa wa timu ni makombe we mbumbumbu uelezwe nn uelewe?
 
Ranking inakusaidia nini kama hauna kombe?
 
Hapa ndipo naona ukubwa wa Simba ulipo maaana haiwazi tena kuna Yanga inawaza mbele hukoo inakutana na nani ila yanga makopo wao wanawaza watamfungaje Simba imara. Ndo maana mko mkiani kwenye ramani ya Africa kisoka
Hivi nyie hukoo kimataifa mna kombe gani la kumtambia YANGA? au ndo kumbwelaa tu na ahsante kwa kushiriki
 
time will tell
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…