Yanga inatoa wapi wachezaji? Inaniuma sana aisee, jana nimeshindwa kulala

boka ni hatari sana, amekuwa mbadala wa lomalisa kabisa. na ana faulu chache sana tofauti na lomalisa alikuwa na faulu kibao alikuwa liability tu.
Jamaa noma sana hata 1 V 1 kuliwini ni kazi afukuzwe nchini halafu yanga wana wachezaji wengi wa kuvunja mistari ya ulinzi kule mbele inawarahisishia sana kazi washambuliaji.
 
Yanga wanawachezaji wa kawaida,tofauti ni kwamba simba bado uswahili mwingi kwenye uongozi, wapo wachezaji wanacheza kwa maelekezo (licha viwango vyao kufa kabisa), Yanga wameweza kuliondoa hilo
 
Toka kwa mbumbu fc uishi kwa raha weweee.
 
Ukitaka ujue hilo, hao wachezaji wa yanga at one time walikuwa wakigombaniwa na simba, na wakati mmoja simba iliwakataa wakaenda yanga.
Hao hao wachezaji ukiwatoa ukawapeleka simba hawatocheza kama wanavyochexza sasa. Why? Mazingira yamebadilika
Mkuu ukizungumza toa na mifano ili nikuelewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…