Yanga inatoa wapi wachezaji? Inaniuma sana aisee, jana nimeshindwa kulala

Yanga inatoa wapi wachezaji? Inaniuma sana aisee, jana nimeshindwa kulala

Mwenzako niliangalia mechi ya Jana dakika kumi na tano ikanitosha kabisa kujua kuwa Yanga Wana timu bwana ,nitabaki kuwa Simba moyoni Ila machoni Bora niwe Yanga tu
Ningekushangaa sana Makolokolo kwanini uteseke kiurahisi namna hiyo ilihali raha unajipa mwenyewe, karibu sana utopoloni.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
 
Ukitaka ujue hilo, hao wachezaji wa yanga at one time walikuwa wakigombaniwa na simba, na wakati mmoja simba iliwakataa wakaenda yanga.
Hao hao wachezaji ukiwatoa ukawapeleka simba hawatocheza kama wanavyochexza sasa. Why? Mazingira yamebadilika
Kutaka Wachezaji ni kitu kingine (maneno) na kuwanunua (utekelezaji) ni kitu kingine.
Mfano Arsenal SC alitaka kuwasajili akina Drogber, Cr 7, D. de Gea n.k.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
 
Kwani ni mchezaji pekee ambaye akiifunga Yanga anashangilia kisha timu anayocheza ikafungwa? Yeye akishangilia anawatesa.
Hakuna Mchezaji, Kocha, Tajiri mmiliki wala Shabiki yeyote atayeweza kuisumbua sports club yoyote duniani maana hao ni wapita njia ila plans, mission, vision, strategies na goals huwa ni endless process za karne na karne. Akili zako Makolokolo na F.Toto zina ulakini.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
 
Mpira haupo hivyo mkuu, je Konikon Kombole, Birigimana, n.k ambao walilazimika kivunjiwa mikataba walifanya vizuri? Kufanya vizuri kwa Yanga hakuna uhusiano na Nabi bali ni kazi nzuri ya watu wa scouting kuleta benchi la ufundi lililo sahihi na replacement zilizo sahihi. Anaondoka Nabi, Mayele, Bangala, Djuma Shaban lakini hauoni pengo. Kama Nabi ndio sababu basi turejee kwa alichokifanya Nabi alipoenda Rabat. Rabati ilitengenezwa na mtangulizi wake na ikawa timu tishio Morocco na ikabeba taji la ligi kuu lakini huyo Nabi kashindwa kuendeleza mafanikio yale badala yake klabu bingwa ikatolewa hatua ya awali, ligi kuu kakosa na FA kakosa. Usidhani ni jambo rahisi kuendeleza ubora wa timu hata kama mtangulizi wako amekuanzishia.
Tunaita "ngumu kumeza" Makolokolo wabishi sana hata kama ni nyeupe watakwambia nyeusi.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
 
Muda ni kitu kizuri sana,watagongwa na IHEFU halafu mtataka kuilaumu TFF kama ilivyo ada kwenu
Ihefu ndiye kichocheo cha Utopolo kuwa Mabingwa, angalia Yanga ikishafungwa tu na Ihefu kipi kifuatacho Makolokolo 😁

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
 
Ihefu ndiye kichocheo cha Utopolo kuwa Mabingwa, angalia Yanga ikishafungwa tu na Ihefu kipi kifuatacho Makolokolo 😁

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
Hata lilipofungwa goli la utangulizi na. Feitoto nini kilifuata 4-1, jibu ni organization chart yaani muundo wa utawala na majukumu ya kila mtu mmoja mmoja ya club, (team).
 
Fedha, Yanga wanalipa vizuri wachezaji wao na wanawaambia kabisa, kama huchezi kwa spidi, nguvu na kipaji chako chote tunakufukuza kazi..!!
Siri ni kuwa na falsafa ya timu na scouting nzuri tu, pesa hata simba na azam ipo.
 
Anzeni na nyie mbali kwa kupitisha bakuli, na kuwa na wachezaji walio tayari kufia timu...

Mapinduzi ya Yanga hii mpya yalianza kwa Zahera hapo, kuhakikisha wachezaji wanapigania timu na spirit hiyo imeendelea hadi sasa...
Umeongea kitu kikubwa, Zahela na wale wachezaji wake tumewasahau lakini ndio waliopigania timu kwa mapenzi na kuweka misingi ya uzalendo na ndicho kipindi ambacho liliibuka jina la "timu ya wananchi". Fei toto asingeleta ujinga angekumbukwa kama mmoja wa malegend wa yanga nafikiri hata sanamu angetengenezewa
 
Nakubaliana na wewe, labda Mamelody nao bado wapo vizuri ingawa wamebugi kumuacha yule kocha wao.
Mamelody mkuu haina timu kwasasa kwanza inatabirika sana Yanga akikutana nao atapiga kama Ngoma,amini nakwambia na najua hata wao hawataki kukutana na Yanga...bora Al Ahly wanacheza kikubwa anaweza sumbua Yanga.
 
Hili swala la kusema Yanga et imekaa kwa muda mrefu sijui misimu minne ikiwa vile vile ni uongo na kutokufatilia mambo Yanga ni timu inayofanya maboresho kila msimu mfano msimu wa ishirini na tatu,ishirini na nne(23/24)Yanga iliondokewa na key players wake wanne Yanick Bangala,Djuma Shabani,Faisal na Mayele lakini hukuona pengo lolote na hapo ukumbuke pia kwenye benchi la ufundi napo lote liliondoka lakini Yanga ikafanya replacement ya hao wachezaji na wakaingia kwenye mfumo tena kwenye mechi ya kwanza tu ya siku ya mwananchi wenye kujua mpira tukasema hawa waliokuja ni watu.
So inshu ya kusema Yanga sijui ni timu ile ile kwa misimu minne mfululizo ni kutafuta kichaka tu cha kujifichia simba ifanye usajiri wa wachezaji wazuri ambao ni rahisi kufundishika na kuingia kwenye mfumo..
 
Mamelody mkuu haina timu kwasasa kwanza inatabirika sana Yanga akikutana nao atapiga kama Ngoma,amini nakwambia na najua hata wao hawataki kukutana na Yanga...bora Al Ahly wanacheza kikubwa anaweza sumbua Yanga.
Hawa jamaa Al Ahly wanajua kutafuta ushindi, issue ya possession sio kipaumbele chao kabisa. Kuna siku wanacheza mpira wa hovyo ila wana shinda.
 
YANGA Team spirit and teamwork ipo juu. sana...lakini pia CONFIDENCE ipo juu...

nadhani saikolojia iliyopo kambini, ..ktk MEDIA etc...

YANGA - Administratively sio team ya wachache......
Kwa SIMBA .kuna MEMGI na MAPYA yanahitajika ktk eneo la BRANDING. ....ktk eneo la HAMASA ndio kuna hali ya kupoa sana...PENGINE ni CALIBER. ya watu wake...

Yameshasemwa sana haya ktk media... lakini SIMBA management imejifungia sana OFISINI .. ipo .Distanlty from FANS , MEDIA and PLAYERS themselves....
Wachezaji wa SIMBA wanahitaji kuamrishwa, waone kuwa wao not only GIANT but first CLUB..
 
Naiona Yanga inayokwenda kuvunja ufalme wa Al Ahaly Africa.

Inshort ile TP Mazembe ya kina Samatta ndio Yanga ya sasa inaweza kucheza popote Africa na kupata matokeo popote.

Kwa sasa Yanga haijarishi inacheza nyumbani au ugenini unakandwa hukohuko kwako.
Unazungumzia tp mazembe iliyochukua ubingwa na hii Yanga iliyoishia robo finally msimu uliopita??? Duuuuu hii nchi ngumu sana yanga iliyoshikiria bomba nyumbani na ugenini mbele ya mamelod iliyoenda kupigwa nje Ndani na esperance

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Kila nikiangalia eti viungo Ngoma yupo miongoni mwao. Aisee Simba itasubiri Sana
 
Unazungumzia tp mazembe iliyochukua ubingwa na hii Yanga iliyoishia robo finally msimu uliopita??? Duuuuu hii nchi ngumu sana yanga iliyoshikiria bomba nyumbani na ugenini mbele ya mamelod iliyoenda kupigwa nje Ndani na esperance

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Bila Aucho, Yao, na Pacome huku refarii akikataa kwenye VAR kwenda kujiridhisha kama mpira wa Aziz Ki umevuka au haujavuka. Kushikiria bomba ni mbinu ya mpira pia na ndio maana Mamelodi kashindwa kuliona lango la Yanga.
Msimu ulioisha kulikuwa kuna mstari mdogo sana wa kurekebisha kiubora timu ifanane na Al Ahly. Al Ahly imecheza game mbili na Yanga na matokeo yakawa goli 1-0 ushindi wa Al Ahly kule Misri, huku kwa Mkapa wakitoka sare. Kama mapungufu kadhaa yatakuwa yamerekebishwa basi huenda ikaifikia Al Ahly kiubora.

N.B kuwa na kikosi ghari sio ndio kuwa na kikosi bora hilo pia litambulike
 
Back
Top Bottom