Yanga inatoa wapi wachezaji? Inaniuma sana aisee, jana nimeshindwa kulala

Yanga inatoa wapi wachezaji? Inaniuma sana aisee, jana nimeshindwa kulala

Mpaka sasa ni wachezaji wa 4 tu ndo nimeridhika nao mpaka sasa hao wengine tusubiri. Camara,Chamou,Malone na Hussein ndo nimerdhika nao.
deborah.mutale.okejepha au hauna macho
 
Anzeni na nyie mbali kwa kupitisha bakuli, na kuwa na wachezaji walio tayari kufia timu...

Mapinduzi ya Yanga hii mpya yalianza kwa Zahera hapo, kuhakikisha wachezaji wanapigania timu na spirit hiyo imeendelea hadi sasa...
🤔🤔🤔🤔
 
Hata kusalimia sisalimii kifua kimenibana kwa uchungu ,hivi hawa Utopolo wanapata wapi wachezaji jamani haiwezekani kila mchezaji wakichukua anakua moto yaani hawakosei na kama wakikosea basi kidogo sana.

Mfano nimzungumzie namba 3 yao ,yule Boka dah lile jamaa refu,lina control,spidi na lina maamuzi sahihi na linafanya pressing muda wote.

Yanga hii ya sasa ubora walionao hata Simba ile bora ya miaka 4 haijafikia hata nusu ya ubora huu,ndo maana hatukuwahi kuwanyanyasa bado walitufunga pia. Naweza sema sasa ubora wao wako sawa na Al ahly na nina uhakika kwa sasa Yanga ndo timu ambayo magiant wa afrika wote wanaiohofia kukutana nayo kwa sasa. Spirit ya ushindi ya ushindi walio nayo ni hatari sana kwa afya ya ligi yetu itageuka ligi ya kipuuzi sasa.

Soma Pia: Sibishani tena kuhusu ubora wa Yanga Africans, nimekubali yaishe

Angalia MVP wao waliomchukua msimu juzi kiwango chake halafu fananisha na MVP wetu tuliomchukua sisi msimu jana dah yaani yaaani.

Hongera mtani mmejua kutonyoosha🙌🙌

Moyo unaniuma sana😡 ,#UBAYA UBWELA

Jiandae kisaikolojia ujenge uvumilivu kwa muda mrefu.
 
Wakati Kaizer Chief analalishwa 4G kwao bado kuna Matomaso walidhani Kaizer Chief ni wabovu, kumbe hawajui Yanga imedhamiria nini Africa.

Mpaka sasa timu za kuisumbuwa Yanga Africa haziwezi kuzidi 3.
Ni moja tu Al Ahly ya Misri pekee..hao wakina Wydady na Esperance sio wakali sana..
 
Ukipanga mechi ya ghafla kati ya Mamelodi na Yanga; usishangae Mamelodi watagoma.
Naiona Yanga inayokwenda kuvunja ufalme wa Al Ahaly Africa.

Inshort ile TP Mazembe ya kina Samatta ndio Yanga ya sasa inaweza kucheza popote Africa na kupata matokeo popote.

Kwa sasa Yanga haijarishi inacheza nyumbani au ugenini unakandwa hukohuko kwako.
 
Nakubaliana na wewe, labda Mamelody nao bado wapo vizuri ingawa wamebugi kumuacha yule kocha wao.
Mamelodi hawana Timu ya kuifunga Yanga sasa hivi wameuza wachezaji baada ya kumshutumu kocha Timu ilicheza chini ya kiwango ilipocheza na Yanga Kocha kaachwa kisa Yanga na kumununua Lorch huku akiwa na Washambuliaji wengine...
 
Hata kusalimia sisalimii kifua kimenibana kwa uchungu ,hivi hawa Utopolo wanapata wapi wachezaji jamani haiwezekani kila mchezaji wakichukua anakua moto yaani hawakosei na kama wakikosea basi kidogo sana.

Mfano nimzungumzie namba 3 yao ,yule Boka dah lile jamaa refu,lina control,spidi na lina maamuzi sahihi na linafanya pressing muda wote.

Yanga hii ya sasa ubora walionao hata Simba ile bora ya miaka 4 haijafikia hata nusu ya ubora huu,ndo maana hatukuwahi kuwanyanyasa bado walitufunga pia. Naweza sema sasa ubora wao wako sawa na Al ahly na nina uhakika kwa sasa Yanga ndo timu ambayo magiant wa afrika wote wanaiohofia kukutana nayo kwa sasa. Spirit ya ushindi ya ushindi walio nayo ni hatari sana kwa afya ya ligi yetu itageuka ligi ya kipuuzi sasa.

Soma Pia: Sibishani tena kuhusu ubora wa Yanga Africans, nimekubali yaishe

Angalia MVP wao waliomchukua msimu juzi kiwango chake halafu fananisha na MVP wetu tuliomchukua sisi msimu jana dah yaani yaaani.

Hongera mtani mmejua kutonyoosha🙌🙌

Moyo unaniuma sana😡 ,#UBAYA UBWELA

Unamaanisha wachezaji wa yanga sc siyo wazee tena, si mlesema ni wazee mwingine kaandika ifikapo mwezi wa 10 yaani tarehe 19 -10-2024, wazee watakuwa hawana nguvu
 
Back
Top Bottom