Interlacustrine R
JF-Expert Member
- Jan 22, 2022
- 7,186
- 14,274
Ningekushangaa sana Makolokolo kwanini uteseke kiurahisi namna hiyo ilihali raha unajipa mwenyewe, karibu sana utopoloni.Mwenzako niliangalia mechi ya Jana dakika kumi na tano ikanitosha kabisa kujua kuwa Yanga Wana timu bwana ,nitabaki kuwa Simba moyoni Ila machoni Bora niwe Yanga tu
Kutaka Wachezaji ni kitu kingine (maneno) na kuwanunua (utekelezaji) ni kitu kingine.Ukitaka ujue hilo, hao wachezaji wa yanga at one time walikuwa wakigombaniwa na simba, na wakati mmoja simba iliwakataa wakaenda yanga.
Hao hao wachezaji ukiwatoa ukawapeleka simba hawatocheza kama wanavyochexza sasa. Why? Mazingira yamebadilika
Kabla hujamalizana na mchezaji unamtangaza, mfano hai mpanzu yuko wapiKutaka Wachezaji ni kitu kingine (maneno) na kuwanunua (utekelezaji) ni kitu kingine.
Mfano Arsenal alitaka kuwasajili akina Drogber, Cr 7, D. de Gea n.k.
Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
Hakuna Mchezaji, Kocha, Tajiri mmiliki wala Shabiki yeyote atayeweza kuisumbua sports club yoyote duniani maana hao ni wapita njia ila plans, mission, vision, strategies na goals huwa ni endless process za karne na karne. Akili zako Makolokolo na F.Toto zina ulakini.Kwani ni mchezaji pekee ambaye akiifunga Yanga anashangilia kisha timu anayocheza ikafungwa? Yeye akishangilia anawatesa.
Tunaita "ngumu kumeza" Makolokolo wabishi sana hata kama ni nyeupe watakwambia nyeusi.Mpira haupo hivyo mkuu, je Konikon Kombole, Birigimana, n.k ambao walilazimika kivunjiwa mikataba walifanya vizuri? Kufanya vizuri kwa Yanga hakuna uhusiano na Nabi bali ni kazi nzuri ya watu wa scouting kuleta benchi la ufundi lililo sahihi na replacement zilizo sahihi. Anaondoka Nabi, Mayele, Bangala, Djuma Shaban lakini hauoni pengo. Kama Nabi ndio sababu basi turejee kwa alichokifanya Nabi alipoenda Rabat. Rabati ilitengenezwa na mtangulizi wake na ikawa timu tishio Morocco na ikabeba taji la ligi kuu lakini huyo Nabi kashindwa kuendeleza mafanikio yale badala yake klabu bingwa ikatolewa hatua ya awali, ligi kuu kakosa na FA kakosa. Usidhani ni jambo rahisi kuendeleza ubora wa timu hata kama mtangulizi wako amekuanzishia.
Ihefu ndiye kichocheo cha Utopolo kuwa Mabingwa, angalia Yanga ikishafungwa tu na Ihefu kipi kifuatacho Makolokolo πMuda ni kitu kizuri sana,watagongwa na IHEFU halafu mtataka kuilaumu TFF kama ilivyo ada kwenu
Hata lilipofungwa goli la utangulizi na. Feitoto nini kilifuata 4-1, jibu ni organization chart yaani muundo wa utawala na majukumu ya kila mtu mmoja mmoja ya club, (team).Ihefu ndiye kichocheo cha Utopolo kuwa Mabingwa, angalia Yanga ikishafungwa tu na Ihefu kipi kifuatacho Makolokolo π
Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
Na badoIhefu ndiye kichocheo cha Utopolo kuwa Mabingwa, angalia Yanga ikishafungwa tu na Ihefu kipi kifuatacho Makolokolo π
Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
Siri ni kuwa na falsafa ya timu na scouting nzuri tu, pesa hata simba na azam ipo.Fedha, Yanga wanalipa vizuri wachezaji wao na wanawaambia kabisa, kama huchezi kwa spidi, nguvu na kipaji chako chote tunakufukuza kazi..!!
Umeongea kitu kikubwa, Zahela na wale wachezaji wake tumewasahau lakini ndio waliopigania timu kwa mapenzi na kuweka misingi ya uzalendo na ndicho kipindi ambacho liliibuka jina la "timu ya wananchi". Fei toto asingeleta ujinga angekumbukwa kama mmoja wa malegend wa yanga nafikiri hata sanamu angetengenezewaAnzeni na nyie mbali kwa kupitisha bakuli, na kuwa na wachezaji walio tayari kufia timu...
Mapinduzi ya Yanga hii mpya yalianza kwa Zahera hapo, kuhakikisha wachezaji wanapigania timu na spirit hiyo imeendelea hadi sasa...
Mamelody mkuu haina timu kwasasa kwanza inatabirika sana Yanga akikutana nao atapiga kama Ngoma,amini nakwambia na najua hata wao hawataki kukutana na Yanga...bora Al Ahly wanacheza kikubwa anaweza sumbua Yanga.Nakubaliana na wewe, labda Mamelody nao bado wapo vizuri ingawa wamebugi kumuacha yule kocha wao.
Hawa jamaa Al Ahly wanajua kutafuta ushindi, issue ya possession sio kipaumbele chao kabisa. Kuna siku wanacheza mpira wa hovyo ila wana shinda.Mamelody mkuu haina timu kwasasa kwanza inatabirika sana Yanga akikutana nao atapiga kama Ngoma,amini nakwambia na najua hata wao hawataki kukutana na Yanga...bora Al Ahly wanacheza kikubwa anaweza sumbua Yanga.
Mpira hauko hivyoWakati Kaizer Chief analalishwa 4G kwao bado kuna Matomaso walidhani Kaizer Chief ni wabovu, kumbe hawajui Yanga imedhamiria nini Africa.
Mpaka sasa timu za kuisumbuwa Yanga Africa haziwezi kuzidi 3.
Unazungumzia tp mazembe iliyochukua ubingwa na hii Yanga iliyoishia robo finally msimu uliopita??? Duuuuu hii nchi ngumu sana yanga iliyoshikiria bomba nyumbani na ugenini mbele ya mamelod iliyoenda kupigwa nje Ndani na esperanceNaiona Yanga inayokwenda kuvunja ufalme wa Al Ahaly Africa.
Inshort ile TP Mazembe ya kina Samatta ndio Yanga ya sasa inaweza kucheza popote Africa na kupata matokeo popote.
Kwa sasa Yanga haijarishi inacheza nyumbani au ugenini unakandwa hukohuko kwako.
Bila Aucho, Yao, na Pacome huku refarii akikataa kwenye VAR kwenda kujiridhisha kama mpira wa Aziz Ki umevuka au haujavuka. Kushikiria bomba ni mbinu ya mpira pia na ndio maana Mamelodi kashindwa kuliona lango la Yanga.Unazungumzia tp mazembe iliyochukua ubingwa na hii Yanga iliyoishia robo finally msimu uliopita??? Duuuuu hii nchi ngumu sana yanga iliyoshikiria bomba nyumbani na ugenini mbele ya mamelod iliyoenda kupigwa nje Ndani na esperance
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Ma- Full backs Kama Yao na Boka ndio maana Gamondi hataki Winger kabisaNoma sana aisee yaani kafunika hadi winga zetu kwa usahihi alionao kwenye kushambulia.