OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Ninazo taarifa kwamba Yanga ilikuwa ifanye gwaride la ubingwa baada ya kuhitimisha mechi ya FA dhidi ya Azam.
Lakini walifuatwa na mamlaka kuamliwa wafanye hivyo siku ya jumamosi ambayo ilikuwa siku ya kujadiliwa mkataba wa bandari.
Yanga wakalazimika kubadili program yao kuendana na matakwa ya kisiasa. Program ya wachezaji ilionyesha wangekuwa mazoezini kuendelea na maandalizi ya mechi ya FA. Kocha Nabi alihoji haraka ya kufanya parade wakati wana mechi ya FA.
Hii haikubaliki timu zetu zinazounganisha watu wote bila kujali itikadi zao kutumika kisiasa. Inafaa tuungane kukemea jambo hili kwa uwazi bila kujali chochote.