PakiJinja
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 11,689
- 25,848
KIlwa KaskaziniMbunge wa jimbo gani??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KIlwa KaskaziniMbunge wa jimbo gani??
Omari kipanga ndo mbunge wa mafia sasa sjui mwenyekiti wa simba anaitwa kipanga au mangungu.Mafia
Kilwa KaskaziniOmari kipanga ndo mbunge wa mafia sasa sjui mwenyekiti wa simba anaitwa kipanga au mangungu.
😅😅😅Ninazo taarifa kwamba Yanga ilikuwa ifanye gwaride la ubingwa baada ya kuhitimisha mechi ya FA dhidi ya Azam.
Lakini walifuatwa na mamlaka kuamliwa wafanye hivyo siku ya jumamosi ambayo ilikuwa siku ya kujadiliwa mkataba wa bandari.
Yanga wakalazimika kubadili program yao kuendana na matakwa ya kisiasa. Program ya wachezaji ilionyesha wangekuwa mazoezini kuendelea na maandalizi ya mechi ya FA. Kocha Nabi alihoji haraka ya kufanya parade wakati wana mechi ya FA.
Hii haikubaliki timu zetu zinazounganisha watu wote bila kujali itikadi zao kutumika kisiasa. Inafaa tuungane kukemea jambo hili kwa uwazi bila kujali chochote.
Hahahahahhahahahhahhh!! mzee wa Kibu D Vs MayeleHuyu Mwamba nadhani ndo mwana JF anayeongoza kwa makaburi yake kufufuliwa. Uwezo wake wa kuona yajayo/ mbali nadhani hauzidi mita 10.
Hatari sana.Hahahahahhahahahhahhh!! mzee wa Kibu D Vs Mayele