Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tulia wewe !Ushahidi Unao Sio Unasema Tuu Ukibanwa Unaaanza Kulialiaa Toa Ushahidi
Hii hoja yako ni mufilisi.Ninazo taarifa kwamba Yanga ilikuwa ifanye gwaride la ubingwa baada ya kuhitimisha mechi ya FA dhidi ya Azam.
Lakini walifuatwa na mamlaka kuamliwa wafanye hivyo siku ya jumamosi ambayo ilikuwa siku ya kujadiliwa mkataba wa bandari.
Yanga wakalazimika kubadili program yao kuendana na matakwa ya kisiasa. Program ya wachezaji ilionyesha wangekuwa mazoezini kuendelea na maandalizi ya mechi ya FA. Kocha Nabi alihoji haraka ya kufanya parade wakati wana mechi ya FA.
Hii haikubaliki timu zetu zinazounganisha watu wote bila kujali itikadi zao kutumika kisiasa. Inafaa tuungane kukemea jambo hili kwa uwazi bila kujali chochote.
Hii nchi ukiwa tu na hela unakuwa ccm.Ninazo taarifa kwamba Yanga ilikuwa ifanye gwaride la ubingwa baada ya kuhitimisha mechi ya FA dhidi ya Azam.
Lakini walifuatwa na mamlaka kuamliwa wafanye hivyo siku ya jumamosi ambayo ilikuwa siku ya kujadiliwa mkataba wa bandari.
Yanga wakalazimika kubadili program yao kuendana na matakwa ya kisiasa. Program ya wachezaji ilionyesha wangekuwa mazoezini kuendelea na maandalizi ya mechi ya FA. Kocha Nabi alihoji haraka ya kufanya parade wakati wana mechi ya FA.
Hii haikubaliki timu zetu zinazounganisha watu wote bila kujali itikadi zao kutumika kisiasa. Inafaa tuungane kukemea jambo hili kwa uwazi bila kujali chochote.
Wenye akili wote tulilijua hilo mapema tu Mkuu acha watumikie ufisadi lkn karma ipo juu yao.Ninazo taarifa kwamba Yanga ilikuwa ifanye gwaride la ubingwa baada ya kuhitimisha mechi ya FA dhidi ya Azam.
Lakini walifuatwa na mamlaka kuamliwa wafanye hivyo siku ya jumamosi ambayo ilikuwa siku ya kujadiliwa mkataba wa bandari.
Yanga wakalazimika kubadili program yao kuendana na matakwa ya kisiasa. Program ya wachezaji ilionyesha wangekuwa mazoezini kuendelea na maandalizi ya mechi ya FA. Kocha Nabi alihoji haraka ya kufanya parade wakati wana mechi ya FA.
Hii haikubaliki timu zetu zinazounganisha watu wote bila kujali itikadi zao kutumika kisiasa. Inafaa tuungane kukemea jambo hili kwa uwazi bila kujali chochote.
Heh!!! 😂😂😂😅😅😂😅Ninazo taarifa kwamba Yanga ilikuwa ifanye gwaride la ubingwa baada ya kuhitimisha mechi ya FA dhidi ya Azam.
Lakini walifuatwa na mamlaka kuamliwa wafanye hivyo siku ya jumamosi ambayo ilikuwa siku ya kujadiliwa mkataba wa bandari.
Yanga wakalazimika kubadili program yao kuendana na matakwa ya kisiasa. Program ya wachezaji ilionyesha wangekuwa mazoezini kuendelea na maandalizi ya mechi ya FA. Kocha Nabi alihoji haraka ya kufanya parade wakati wana mechi ya FA.
Hii haikubaliki timu zetu zinazounganisha watu wote bila kujali itikadi zao kutumika kisiasa. Inafaa tuungane kukemea jambo hili kwa uwazi bila kujali chochote.
Vyovyote walipaswa kutuliaKwamba unataka kusema yanga wasinge fanya hiyo parade huu mkataba bunge lisingepitisha au yanga ndio wamesababisha huu mkataba upite
Ukikemea wewe inatoshaNinazo taarifa kwamba Yanga ilikuwa ifanye gwaride la ubingwa baada ya kuhitimisha mechi ya FA dhidi ya Azam.
Lakini walifuatwa na mamlaka kuamliwa wafanye hivyo siku ya jumamosi ambayo ilikuwa siku ya kujadiliwa mkataba wa bandari.
Yanga wakalazimika kubadili program yao kuendana na matakwa ya kisiasa. Program ya wachezaji ilionyesha wangekuwa mazoezini kuendelea na maandalizi ya mechi ya FA. Kocha Nabi alihoji haraka ya kufanya parade wakati wana mechi ya FA.
Hii haikubaliki timu zetu zinazounganisha watu wote bila kujali itikadi zao kutumika kisiasa. Inafaa tuungane kukemea jambo hili kwa uwazi bila kujali chochote.
OKW BOBAN SUNZU njoo ujibu hukuNyie ambao hamtumiki mlifanya nini mpaka mkataba ukapitishwa?.
Aahaaaaaakwaiyo kuanzia leo tukubaliane nchi nzima inashabikia yanga,maana km makolo wana mashabiki ktk hii nchi hao hao ndo waliopaswa kufatilia mijadala ya bandari siku iyo lkn kwakuwa watzwote ni yanga kila kitu kilikufa siku iyo
Kaa kitako kwa kutulia, Yanga INA ratiba yake ya kupeleka makombe bungeni na medali za CAF kwa wabunge Dodoma.Ninazo taarifa kwamba Yanga ilikuwa ifanye gwaride la ubingwa baada ya kuhitimisha mechi ya FA dhidi ya Azam.
Lakini walifuatwa na mamlaka kuamliwa wafanye hivyo siku ya jumamosi ambayo ilikuwa siku ya kujadiliwa mkataba wa bandari.
Yanga wakalazimika kubadili program yao kuendana na matakwa ya kisiasa. Program ya wachezaji ilionyesha wangekuwa mazoezini kuendelea na maandalizi ya mechi ya FA. Kocha Nabi alihoji haraka ya kufanya parade wakati wana mechi ya FA.
Hii haikubaliki timu zetu zinazounganisha watu wote bila kujali itikadi zao kutumika kisiasa. Inafaa tuungane kukemea jambo hili kwa uwazi bila kujali chochote.
Shida iko palepale.Ninazo taarifa kwamba Yanga ilikuwa ifanye gwaride la ubingwa baada ya kuhitimisha mechi ya FA dhidi ya Azam.
Lakini walifuatwa na mamlaka kuamliwa wafanye hivyo siku ya jumamosi ambayo ilikuwa siku ya kujadiliwa mkataba wa bandari.
Yanga wakalazimika kubadili program yao kuendana na matakwa ya kisiasa. Program ya wachezaji ilionyesha wangekuwa mazoezini kuendelea na maandalizi ya mechi ya FA. Kocha Nabi alihoji haraka ya kufanya parade wakati wana mechi ya FA.
Hii haikubaliki timu zetu zinazounganisha watu wote bila kujali itikadi zao kutumika kisiasa. Inafaa tuungane kukemea jambo hili kwa uwazi bila kujali chochote.
Mbunge wa jimbo gani??Mwenyekiti wa Simba ni Mbunge wa CCM, nitajie kiongozi wa Simba asiye Mwana CCM halafu nikwambie kwanini Yanga ni timu ya wananchi.