OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Ni mgawanyo wa majukumu na vipaombele tu mkuu, acha Wananchi wafanye mambo yao yanayo wahusu kama wananchi, na wabeba mizigo bandarini na wao wapambane na ya kwao.Ninazo taarifa kwamba Yanga ilikuwa ifanye gwaride la ubingwa baada ya kuhitimisha mechi ya FA dhidi ya Azam...
Mwenyekiti wa Simba ni Mbunge wa CCM, nitajie kiongozi wa Simba asiye Mwana CCM halafu nikwambie kwanini Yanga ni timu ya wananchi.Yanga ni CCM pure
Hata CCM walipokuwa wanatafuta rangi ya date zao,waliingalia kwanzA YangaMwenyekiti wa Simba ni Mbunge wa CCM, nitajie kiongozi wa Simba asiye Mwana CCM halafu nikwambie kwanini Yanga ni timu ya wananchi.
Sababu ni timu ya Wananchi hivyo ndiyo roadmap ya nchi.Hata CCM walipokuwa wanatafuta rangi ya date zao,waliingalia kwanzA Yanga
kwaiyo kuanzia leo tukubaliane nchi nzima inashabikia yanga,maana km makolo wana mashabiki ktk hii nchi hao hao ndo waliopaswa kufatilia mijadala ya bandari siku iyo lkn kwakuwa watzwote ni yanga kila kitu kilikufa siku iyoNinazo taarifa kwamba Yanga ilikuwa ifanye gwaride la ubingwa baada ya kuhitimisha mechi ya FA dhidi ya Azam.
Lakini walifuatwa na mamlaka kuamliwa wafanye hivyo siku ya jumamosi ambayo ilikuwa siku ya kujadiliwa mkataba wa bandari.
Yanga wakalazimika kubadili program yao kuendana na matakwa ya kisiasa. Program ya wachezaji ilionyesha wangekuwa mazoezini kuendelea na maandalizi ya mechi ya FA. Kocha Nabi alihoji haraka ya kufanya parade wakati wana mechi ya FA.
Hii haikubaliki timu zetu zinazounganisha watu wote bila kujali itikadi zao kutumika kisiasa. Inafaa tuungane kukemea jambo hili kwa uwazi bila kujali chochote.
Ninazo taarifa kwamba Yanga ilikuwa ifanye gwaride la ubingwa baada ya kuhitimisha mechi ya FA dhidi ya Azam.
Lakini walifuatwa na mamlaka kuamliwa wafanye hivyo siku ya jumamosi ambayo ilikuwa siku ya kujadiliwa mkataba wa bandari.
Yanga wakalazimika kubadili program yao kuendana na matakwa ya kisiasa. Program ya wachezaji ilionyesha wangekuwa mazoezini kuendelea na maandalizi ya mechi ya FA. Kocha Nabi alihoji haraka ya kufanya parade wakati wana mechi ya FA.
Hii haikubaliki timu zetu zinazounganisha watu wote bila kujali itikadi zao kutumika kisiasa. Inafaa tuungane kukemea jambo hili kwa uwazi bila kujali chochote.
Kwanini CCM isiwe Yanga pure? Kati ya CCM na Yanga kipi kilianza kuzaliwa?Yanga ni CCM pure
Ninazo taarifa kwamba Yanga ilikuwa ifanye gwaride la ubingwa baada ya kuhitimisha mechi ya FA dhidi ya Azam. Lakini walifuatwa na mamlaka kuamliwa wafanye hivyo siku ya jumamosi ambayo ilikuwa siku ya kujadiliwa mkataba wa bandari. Yanga wakalazimika kubadili program yao kuendana na matakwa ya kisiasa. Program ya wachezaji ilionyesha wangekuwa mazoezini kuendelea na maandalizi ya mechi ya FA. Kocha Nabi alihoji haraka ya kufanya parade wakati wana mechi ya FA. Hii haikubaliki timu zetu zinazounganisha watu wote bila kujali itikadi zao kutumika kisiasa. Inafaa tuungane kukemea jambo hili kwa uwazi bila kujali chochote.
Kwamba unataka kusema yanga wasinge fanya hiyo parade huu mkataba bunge lisingepitisha au yanga ndio wamesababisha huu mkataba upiteMimi nilisema hili mapema nikaonekana sukuma gang.
Haikuwa na mantiki yoyote watu wanajadili Sakata la Bandari bungeni nyie mnaadamana kupokea timu yenu
Simba ina mbumbumbu wengi sanaNashangaa sana badala ya kujikita kwenye hoja za msingi namna gani timu ya Simba sc ifanye usajili maridhawa lakini mashabiki wake wamejificha nyuma ya keyboard wakisambaza habari za uongo.
Eti Yanga ilitumika kisiasa kuzima/kufukia mjadala wa Bandari Bungeni.
NALIA NGWENA nakataa kata kwa sababu kuu moja tu nayo ni Ratiba viongozi wa Yanga walianza kuimba hii Ratiba kabla hata ya huo mjadala.
Ratiba ilipangwa mapema kuwa Yanga watakapo kabidhiwa kombe huko Mbeya baada ya Game ya Tanzania prisons Basi itafanyika parade kubwa.
Kwa hiyo basi Ratiba ya mjadala wa Bandari huko Bungeni imekuja ikiwa Yanga imekwisha panga Ratiba.
Ndugu yangu OKW BOBAN SUNZU jipange Tena katika kuandaa propaganda kwanza huna evidence yoyote kuhusu Hilo na usituletee siasa kwenye mpira.
Nawasilisha hoja.
Yanga wanatumika sana.