Yanga inatumika na CCM kufifisha mijadala ya kitaifa

Yanga ni taasisi inayojitegemea yenye kuamua ifanye nini kwa wakati gani,ajenda na mijadala ya kitaifa haiwezi fifishwa na Yanga wala mtu yeyote,ajenda itafifishwa na wewe kushindwa kusimamia ajenda yako, watu waliokuwa wanafuatilia ile ajenda hawakuwa na habari na Yanga,na waliokuwa na habari na Yanga hawakuwa na ajenda ya kitaifa.
Kama unatoka kwenye mstari utatoka tu kwa sababu ya akili yako lakini siyo kwa sababu ya Yanga,mbona wengine ndo kwanza tulikuja kujua parade la Yanga wakati wa taarifa ya habari ya ITV.
Tuache kuihusisha Yanga na mambo yasiyowahusu.
 
Hii hoja yako ni mufilisi.
 
Hii nchi ukiwa tu na hela unakuwa ccm.
Ndivyo maisha yalivyo maana hata mijadala unayoisema,hawa wanaofuata yanga barabarani,hawawezi kusikiliza labda ingeambatana na miziki hit ya ngono
 
Wenye akili wote tulilijua hilo mapema tu Mkuu acha watumikie ufisadi lkn karma ipo juu yao.
 
sioni kosa la hangs hapo... timu yao ilianzishwa kwa lengo la kisiasa...
 
Heh!!! ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜…
 
Ukikemea wewe inatosha
 
kwaiyo kuanzia leo tukubaliane nchi nzima inashabikia yanga,maana km makolo wana mashabiki ktk hii nchi hao hao ndo waliopaswa kufatilia mijadala ya bandari siku iyo lkn kwakuwa watzwote ni yanga kila kitu kilikufa siku iyo
Aahaaaaaa

๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘
 
MO alikuwa mbunge wa CCM,Mangungu mzee wa ahadi Hana deni na Dunduka pia alikuwa mbunge
 
Kaa kitako kwa kutulia, Yanga INA ratiba yake ya kupeleka makombe bungeni na medali za CAF kwa wabunge Dodoma.

Huu ni msimu utajaa makasiriko tu, subiri Mayele arudi kwenye majukumu ya Taifa lake.
 
Shida iko palepale.
 

Attachments

  • FB_IMG_1686607410508.jpg
    46.2 KB · Views: 3
Mbona utopolo ilianzishwa kupigania uhuru chini ya ccm,so hakuna jipya hapo!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ