Yanga inatumika na CCM kufifisha mijadala ya kitaifa

Walifanya parade siku ile kwa sababu wachezaji wao muhimu kama Mayele na Aziz wasingepata fursa ya kuifanya kama ingefanywa siku nyingine.
 
Mashabiki kindakindaki wa simba na yanga nawaonaga ni kama vichwa vya wendawazimu ni weupe sana kwenye kushiriki mambo ya msingi yanayohusu nchi asilimia kubwa ni watu walikubali kubuluzwa
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Huyu Mwamba nadhani ndo mwana JF anayeongoza kwa makaburi yake kufufuliwa. Uwezo wake wa kuona yajayo/ mbali nadhani hauzidi mita 10.
 
Ukifuatilia historia ya timu zote mbili inajulikana ni za Chama.Na zipo kwa maslai ya Chama
 
Hii nayo imekaaje! Kumualika Rais wa nchi kuhudhuria bonanza la utambulisho wa wachezaji wa msimu huu mpya wa ligi!! Lengo lenu kuu ni lipi hasa ndugu mtoa mada OKW BOBAN SUNZU?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…