Yanga inaweza kua timu ya kwanza kufika nusu fainal CAF kutoka Tanzania

Mamelodi tuombe tu tusikutane nae aisee ... Hapa tutatoa ulimi nje
 
leta source ya CAF tupitie lazima CAF wana data
 
Ngoja waje wale wavaa madela red. Waanzilishi wa kila aina ya tred kuhusu YANGA,wakutupie mawe
 
Okoteza na wewe Kama rahisi, mwaka 1974 Simba ilicheza nusu fainali ya club bingwa Africa na ilitolewa Kwa matuta
Ilitolewa na timu gani, kutoka inchi gani?
Kweli huko ni mambumbumbu.
 
Tatizo hamtaki kukubali simba amewazidi kimataifa ndio maana mnashangilia kwenda robo fainali mpaka mnataka kufa haya nendeni kwenye page ya caf mmeambiwa mnaingia robo fainali kwa mara ya kwanza.
Kwahiyo we unaamini kua Simba imeshawahi kucheza fainali ya Afirican Champins ligae?

Niambie ni mwaka gani?
Mulicheza na timu kutoka inchi gani?
Hiyo timu inaitwaje?
Matokeo ya hiyo mechi yalikuaje?

Lasivyo kauli ya Rage iheshimiwe.
 
Kwahiyo we unaamini kua Simba imeshawahi kucheza fainali ya Afirican Champins ligae?

Niambie ni mwaka gani?
Mulicheza na timu kutoka inchi gani?
Hiyo timu inaitwaje?
Matokeo ya hiyo mechi yalikuaje?

Lasivyo kauli ya Rage iheshimiwe.
Cheki attachment hiyo
 
Hapa kanuni ya kurusha shilingi ilitunyima kuingia nusu fainali
 

Attachments

  • FB_IMG_17089618746562490.jpg
    391.5 KB · Views: 2
Yanga akicheza Kama alivyocheza na cr belouzidad au simba au medeama Dar hakuna timu ya kuizuia .
Hata siku ya Al ahly Kama sio uzembe wa mwamnyeto ingeshinda .
 
Ilitolewa na timu gani, kutoka inchi gani?
Kweli huko ni mambumbumbu.
Aisee Kweli huko wenye akili wapo wawili tu, kula Madini hapo.


 
Kwahiyo mshafika nusu fainali au fainali?

Semeni mapema Ili tujue
W
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…