Zouzoutz
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 1,883
- 2,732
Asante kwa kuweka rekodi sawaHapa kanuni ya kurusha shilingi ilitunyima kuingia nusu fainali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante kwa kuweka rekodi sawaHapa kanuni ya kurusha shilingi ilitunyima kuingia nusu fainali
[emoji2]Labda nusu kilo
Unabishana na CAF wenyewe wao ndo waliosema hivyo na wenye mashindanoUnakua mbishi wakati hujui kitu, ligi ya mabingwa ilienda inabadilika Jina, hili total energies caf champions ni jipya na Toka iitwe hivyo Simba haijawahi kufika nusu fainali, ila mwaka 1974 Simba ilicheza nusu fainali champions league ila mdhamini hakua total energies.
Nikupe mfano mrahisi, ligi kuu Bara imekua ikibadilika Jina Mara kadhaa iliwahi kuitwa ligi daraja la kwanza, iliwahi kuitwa Vodacom premier league na Sasa inaitwa NBC premier league. Sasa akisema azam haijawahi kuchukua ubingwa Toka iwe NBC premier league hamaanishi kwamba haijawahi kuchukua ubingwa wa ligi kuu ila Toka iwe NBC ndio haijawahi kuchukua ubingwa. Ina maana unaposema Yanga ni mabingwa wa kihistoria wamechukua Mara 29 manake wanahesabu vikombe vyote vya ligi kuu bila kujali Kama ilikua inabadilika Jina. Jina halibadili league, league ni Ile Ile ila majina yanabadilika.
Simba mwaka 1974 alicheza Nusu final dhidi ya Ghazl el Mahalla na alitolewa kwa penalty 0-3 baada ya kila timu kushinda kwake 1-0.Unabishana na CAF wenyewe wao ndo waliosema hivyo na wenye mashindano