Yanga inaweza kua timu ya kwanza kufika nusu fainal CAF kutoka Tanzania

Kama timu yako ilikula 5G na Yanga uruhusiwi kuikosoa hoja.
 
Unabishana na CAF wenyewe wao ndo waliosema hivyo na wenye mashindano
 
Unabishana na CAF wenyewe wao ndo waliosema hivyo na wenye mashindano
Simba mwaka 1974 alicheza Nusu final dhidi ya Ghazl el Mahalla na alitolewa kwa penalty 0-3 baada ya kila timu kushinda kwake 1-0.

So jamaa yuko sahihi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…