FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Daah, Bilioni 120, ingekuwa wewe ndio umeshika mpini, ungeziacha, just imagine..!Motsepe ni dhulmati.
hiyo ingetosha kabisa kujenga uwanja wao mpya.Hivyo basi, Mamelodi anaenda kulamba Bilioni 125 kutoka FIFA kwa msaada wa yule kocha. Kiukweli kwa pesa nyingi namna hii, hata wewe ungekuwa refa, na Motsepe anakuwekea bilioni 5 mezani, utaenda kuangalia VAR?
Aiseee, yule refa haina budi kumlaani yeye na kizazi chake chote, kamwe hatutamsahau!hiyo ingetosha kabisa kujenga uwanja wao mpya.
Ujinga ujinga na roho za kimaskini tu ndivyo vinawatesa Kolowizards [emoji38]Bora yametolewa yangetuaibisha sana na pira paki basi na butua.
Magarasa ya Simba yakaitie najisi yanga?Kwa pesa hiyo Hersi angekisuka upya kikosi cha Yanga kwa kuchukua wachezaji wote wa Simba
Hivyo basi, Mamelodi anaenda kulamba Bilioni 125 kutoka FIFA kwa msaada wa yule kocha. Kiukweli kwa pesa nyingi namna hii, hata wewe ungekuwa refa, na Motsepe anakuwekea bilioni 5 mezani, utaenda kuangalia VAR?
Dduh, aiseee, kwa pesa hizi, hata hiyo barua tuliyoandikwa itatupwa kapuni, pesa ni nyingi sana hizi, hakuna atakaehongwa akazikataa, hata sijui itakuwaje, watakaomchunguza Motsepe nao wanalambishwa bilioni moja moja, wanafunga mdomo..hiyo ndio sababu kuu VAR official kumbeba mamelodi maa motsepe hasingekubali kukosa hizo hela za fifa
Kwa hiyo akina Job na Bacca waliambiwa wakose penat?hiyo ndio sababu kuu VAR official kumbeba mamelodi maa motsepe hasingekubali kukosa hizo hela za fifa
Kuna mchezaji gani wa Simba anaweza kucheza Yanga?Kwa pesa hiyo Hersi angekisuka upya kikosi cha Yanga kwa kuchukua wachezaji wote wa Simba
We dogo unaelekea kudata kwa aina comment zako."MASHABIKI WA YANGA NI MAMBWA HAKUNA LOLOTE WANALOJUA KUHUSU KANDANDA ILA MUDA WOTE WANAZOMEA TU UTADHANI MANYANI" - DR LUC EYMAEL 2020