CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 11,635
- 21,347
Yanga wamenufaika sana kwa maamuzi mabaya ya marefa na kujipatia points za dhulma huku vilabu vingine vikiugulia maumivu na wao kupata ubingwa wa mchongo. Wanavyoumia sasa wajue na vilabu vingine viliumia hivyo wawe wapole tu,malipo ni hapa hapa duniani.