cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wamevurugwaa mbayaa.Kama wamelishwa usembe
Juzi kuna mtu alitaka kunipiga ngumi whasap
Yaani full burdaann
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wamevurugwaa mbayaa.Kama wamelishwa usembe
Juzi kuna mtu alitaka kunipiga ngumi whasap
Yaani full burdaann
Wee ni muongo, haukuvukaaaRefa anapoangalia VAR, huwa inarushwa live kwa kila mtu kuona. Kulingana na wachambuzi fulani SABC huko South Africa kitendo cha refa kutokufanya review ya VAR ndico kilichowazuia hata wao kuicheza back live kutoka angle tofauti ila wanasema kuwa mpira ulivuka mstari
Williams 😛Kuna mchezaji gani wa Simba anaweza kucheza Yanga?
Hao wote wote wanatokea sub. Mi nasema wachezaji wanaoweza tikisa 1st eleven yan panga pangua ataingia mchezaji wa Simba kwenye kikosi cha YangaOkrah na Mkude wanacheza au hawachezi? Kama wanacheza unadhani nani atashindwa kwa waliobaki mkuu, jibu ukiwa hauna hasira na refa
Mkude anatokea sub na ni kwa sababu Aucho ni majeruhi.Wengi tuuu. Hao kina Mkude si mlikuwa mnasema ni wazee leo hii ndiyo wanawabeba
Hii ndio ilitakiwa, we una akili sanaNingeenda kuangalia halafu ningeiminyia kwa ndani
Amka usingizini utakunya kitandani bure wewe na wishful thinking yakoHivyo basi, Mamelodi anaenda kulamba Bilioni 125 kutoka FIFA kwa msaada wa yule refa. Kiukweli kwa pesa nyingi namna hii, hata wewe ungekuwa refa, na Motsepe anakuwekea bilioni 5 mezani, utaenda kuangalia VAR?
Simba hakuna mchezaji wa kupata namba Yanga.Kwa pesa hiyo Hersi angekisuka upya kikosi cha Yanga kwa kuchukua wachezaji wote wa Simba
Mliropoka hivi hivi kuwa masambwanda yametuzidi mbali mno kisoka, hamjifunzi?Africa ziende timu mbili timu za ulaya zitat
tupasua vibaya sana leo hii Yanga aende afu akawe kundi moja na Real madrid,Manchester city, Flamingo si aibu ya karne tupata Vilabu vya ulaya vimetuzid ubora mbali sana Africa ziende timu mbili tu au moja wazungu hawana mchezo kwenye soka kama sis