Yanga ingesonga mbele, ingeshiriki Klabu bingwa ya Dunia ya FIFA, kila mshiriki anapewa Dollar Milioni 50 kwa kushiriki tu

Yanga ingesonga mbele, ingeshiriki Klabu bingwa ya Dunia ya FIFA, kila mshiriki anapewa Dollar Milioni 50 kwa kushiriki tu

Refa anapoangalia VAR, huwa inarushwa live kwa kila mtu kuona. Kulingana na wachambuzi fulani SABC huko South Africa kitendo cha refa kutokufanya review ya VAR ndico kilichowazuia hata wao kuicheza back live kutoka angle tofauti ila wanasema kuwa mpira ulivuka mstari
Wee ni muongo, haukuvukaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Okrah na Mkude wanacheza au hawachezi? Kama wanacheza unadhani nani atashindwa kwa waliobaki mkuu, jibu ukiwa hauna hasira na refa
Hao wote wote wanatokea sub. Mi nasema wachezaji wanaoweza tikisa 1st eleven yan panga pangua ataingia mchezaji wa Simba kwenye kikosi cha Yanga
 
Hivyo basi, Mamelodi anaenda kulamba Bilioni 125 kutoka FIFA kwa msaada wa yule refa. Kiukweli kwa pesa nyingi namna hii, hata wewe ungekuwa refa, na Motsepe anakuwekea bilioni 5 mezani, utaenda kuangalia VAR?
Amka usingizini utakunya kitandani bure wewe na wishful thinking yako
 
KQUOTE="Zouzoutz, post: 49890881, member: 744446"]
Ningeenda kuangalia halafu ningeiminyia kwa ndani
[/QUOTE]
Kumbe unajua kuiminyia kwa ndani? Huwezi kuachwa.
 
Africa ziende timu mbili timu za ulaya zitat
tupasua vibaya sana leo hii Yanga aende afu akawe kundi moja na Real madrid,Manchester city, Flamingo si aibu ya karne tupata Vilabu vya ulaya vimetuzid ubora mbali sana Africa ziende timu mbili tu au moja wazungu hawana mchezo kwenye soka kama sis
Mliropoka hivi hivi kuwa masambwanda yametuzidi mbali mno kisoka, hamjifunzi?
 
Back
Top Bottom