CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 11,635
- 21,347
Na kuinunua simba yetu iwe yake milele Amen.Kwa pesa hiyo Hersi angekisuka upya kikosi cha Yanga kwa kuchukua wachezaji wote wa Simba
Hapo sasaaIngepata zile penati ingepita.
Kama wamelishwa usembe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] utasema yotee nakuambiaa. Mbona hapo badoo
Kocha yupi?Hivyo basi, Mamelodi anaenda kulamba Bilioni 125 kutoka FIFA kwa msaada wa yule kocha. Kiukweli kwa pesa nyingi namna hii, hata wewe ungekuwa refa, na Motsepe anakuwekea bilioni 5 mezani, utaenda kuangalia VAR?
Kuna mchezaji gani wa Simba anaweza kucheza
Okrah na Mkude wanacheza au hawachezi? Kama wanacheza unadhani nani atashindwa kwa waliobaki mkuu, jibu ukiwa hauna hasira na refaKuna mchezaji gani wa Simba anaweza kucheza Yanga?
Kwa Mkapa, mngeifunga 5-0 haya yote yasingekuwepo. Tatizo mnapenda sifa sana. Bora meishia robo kama mwakarobo na nilitaka iwe hivyo maana mna kelele sanaHivyo basi, Mamelodi anaenda kulamba Bilioni 125 kutoka FIFA kwa msaada wa yule kocha. Kiukweli kwa pesa nyingi namna hii, hata wewe ungekuwa refa, na Motsepe anakuwekea bilioni 5 mezani, utaenda kuangalia VAR?
Hawa hawa wakucheza Tatu mzuka au wengineo? Yanga haitaki wacheza Tatu mzukaKwa pesa hiyo Hersi angekisuka upya kikosi cha Yanga kwa kuchukua wachezaji wote wa Simba
Wewe mwenye mpira mtamu mpira biriani, mpira urembo, mpira burudani, umelambwa na uliyemshangilia kwenye droo. Al Ahly wamekufundisha hawataki mazoea eti tunajuana huyu nusu fainali lazima. Tatu mzuka ukachezea.Bora yametolewa yangetuaibisha sana na pira paki basi na butua.
Uto waombe CAF ialike baadhi ya wajumbe wa kamati ya uchunguzi watoke FIFA/FBI/UEFA, itasaidia kupunguza rushwa au upendeleo.Dduh, aiseee, kwa pesa hizi, hata hiyo barua tuliyoandikwa itatupwa kapuni, pesa ni nyingi sana hizi, hakuna atakaehongwa akazikataa, hata sijui itakuwaje, watakaomchunguza Motsepe nao wanalambishwa bilioni moja moja, wanafunga mdomo..
Kuna mchezaji gani wa Simba anaweza kucheza Yanga?
Wengi tuuu. Hao kina Mkude si mlikuwa mnasema ni wazee leo hii ndiyo wanawabebaHawa hawa wakucheza Tatu mzuka au wengineo? Yanga haitaki wacheza Tatu mzuka
Wengi halafu unaishia kutaja mmoja, kumbe moja sikuhizi ni wingi? Yanga imecheza na Al Ahly msimu huu mechi mbili na wametoka aggregate ya 0-1 sasa embu tu convince ni kwa namna gani Hersi asajili kikosi kizima cha Simba ndio impe mafanikio ikiwa tu imeonesha ndio kikosi kibovu kuliko hata alichokuwa nacho Hersi Saidi kwasasa. Mnafungwa goli 3 bila kujitetea halafu unaropoka Hersi asajili kikosi kizima cha Simba.Wengi tuuu. Hao kina Mkude si mlikuwa mnasema ni wazee leo hii ndiyo wanawabeba
Nimemtaja ambaye mlikuwa mnamnanga kuwa ni mzee halafu hivi sasa mpo naye na anawabeba. Muongeze Okrah katika hi list. Kama Mkude anacheza vizuri tu unadhani Manula na Ayoub hawawezi cheza Yanga tena kwa rotation kabisa na Diarra? Zimbwe hawezi cheza Yanga tena kwa rotation kabisa na Lomalisa? Kapombe hawezi cheza Yanga tena kwa rotation kabisa na Yao? Inonga hawezi cheza Yanga tena kwa kunyanganya kabisa watu namba? Che Malone hawezi cheza Yanga? Mzamiru hawezi cheza Yanga? Ngoma je? Chama mmekuwa mnamsajili kila msimu ila anaendelea kucheza Simba. Kibu ndiyo mlimteka kabisa kumlazimisha asaini. Utaniambia hao wamefika wangapi.Wengi halafu unaishia kutaja mmoja, kumbe moja sikuhizi ni wingi? Yanga imecheza na Al Ahly msimu huu mechi mbili na wametoka aggregate ya 0-1 sasa embu tu convince ni kwa namna gani Hersi asajili kikosi kizima cha Simba ndio impe mafanikio ikiwa tu imeonesha ndio kikosi kibovu kuliko hata alichokuwa nacho Hersi Saidi kwasasa. Mnafungwa goli 3 bila kujitetea halafu unaropoka Hersi asajili kikosi kizima cha Simba.
Refa anapoangalia VAR, huwa inarushwa live kwa kila mtu kuona. Kulingana na wachambuzi fulani SABC huko South Africa kitendo cha refa kutokufanya review ya VAR ndico kilichowazuia hata wao kuicheza back live kutoka angle tofauti ila wanasema kuwa mpira ulivuka mstariNingeenda kuangalia halafu ningeiminyia kwa ndani
uongo mtupu, wanafuata ranking. Hadi sasa ni Esperance ndio anamzibia Mamelodi huku Ahly na Wydad zikiwa na tiketi tayariHivyo basi, Mamelodi anaenda kulamba Bilioni 125 kutoka FIFA kwa msaada wa yule refa. Kiukweli kwa pesa nyingi namna hii, hata wewe ungekuwa refa, na Motsepe anakuwekea bilioni 5 mezani, utaenda kuangalia VAR?
Tumecheza mechi ipi bila kulenga goli vs nani Simba, Al Ahly au Mamelodi?Nimemtaja ambaye mlikuwa mnamnanga kuwa ni mzee halafu hivi sasa mpo naye na anawabeba. Muongeze Okrah katika hi list. Kama Mkude anacheza vizuri tu unadhani Manula hawezi cheza Yanga tena kwa rotation kabisa na Diarra? Zimbwe hawezi cheza Yanga tena kwa rotation kabisa na Lomalisa? Kapombe hawezi cheza Yanga tena kwa rotation kabisa na Yao? Inonga hawezi cheza Yanga tena kwa kunyanganya kabisa watu namba? Che Malone hawezi cheza Yanga? Mzamiru hawezi cheza Yanga? Ngoma je? Chama mmekuwa mnamsajili kila msimu ila anaendelea kucheza Simba. Kibu ndiyo mlimteka kabisa kumlazimisha asaini. Utaniambia hao wamefika wangapi.
Mmecheza dakika 90 bila kulenga lango, nadhani Saido au Luis wangewasaidia maana wasingecheza dakika 90 bila angalau kulenga lango.
Al Ahly na Wydad wamefuzu kwavile ni mabingwa wa CAF champions league kwa msimu mitatu nyuma. Laiti kama Al Ahly na Wydad wasingejirudia basi mpaka sasa kungekuwa na timu ambazo zimeshafuzu kwa tiketi ya mabingwa hivyo bingwa wa msimu huu angeungana na hao kufikisha timu nne kisha timu moja ingechukuliwa upande wa ranking.uongo mtupu, wanafuata ranking. Hadi sasa ni Esperance ndio anamzibia Mamelodi huku Ahly na Wydad zikiwa na tiketi tayari