Yanga iongeze bidii kujifunza kwa Simba Sc

Njia za mkato tumeiba? si tumetumia hela zetu,nyie Mudy katoa 1.5b msimu uliopita mnawaleta watu wa ajabu ajabu,mara Okwa,Okra siju Sawadogo.

Sisi tunatumia hela yetu na tuna sajili kwa kufuata ataratibu.
Yanga wanatumia hela zao wakati Simba wanatumia za Mudy, yanga hela zao wametoa wapi?
 
Okrah alilaaniwa na Dejan , karma is really
 
Sasa kitu gani cha kujifunza hapo mbona maelezo mengi ok umeshakiri kuwa Yanga kwa sasa ndio timu Bora hapa nchini ina maana ina uongozi imara,benchi la ufundi Bora, na wachezaji Bora kama timu ina vitu hivyo niambie pasipo kupindapinda kipi cha kujifunza ?
 
Mbona hapa unatuingiza chaka
 
Hahaa haaaaaaa haaaaaaaaaaa.....Mikia FC Pusha FC Punda FC Bwimbwi FC bana.
 
Wajifunze mpira wa kisayansi kutoka Kwa kocha Robertinho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…