Yanga ipo mbioni kumsainisha kiungo machachari "fundi,mnyumbulifu" kutoka zesco

Yanga mambo yake ni ya uhakika tofauti kabisa na jirani yake wenye viongozi mafisadi, wezi,waongo, wazushi Aveva na mwenzie wanao nyea debe segelea
 
Mikia fc sasa wao ni mapambano ya kumaliza kesi teeeeeeeeeh teeeeeeeeeh Yanga hiiiii kweli ni timu ya wananchi tena wazalendo
 
Siumeoma na Tambwe tayari kesha anguka?
 
Huo ndiyo ukweli na kuna tetesi na popu naye tayari yupo takukuru anasubiri kufikishwa kwa pilato yaani usimcheke mwenzio kwa matukio ya kidunia
hans tayari leo analala bila shuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…