hakika utakufa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2016
- 1,789
- 822
Wanachanganya lkn ndo mabingwa ss kipi boraKuchanganya Madesa ni kawaida ya Kandambili....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanachanganya lkn ndo mabingwa ss kipi boraKuchanganya Madesa ni kawaida ya Kandambili....
Kichwa cha habari na habari viko tofautiYanga hiajawai kucheza na Zesco na wala huyp sio mchezaji wa Zesco Huyo ni mchezaji wa Zanaco
Mikia fc sasa wao ni mapambano ya kumaliza kesi teeeeeeeeeh teeeeeeeeeh Yanga hiiiii kweli ni timu ya wananchi tena wazalendo![]()
![]()
Zimisileni moyo kiungo wa zanaco nadhani wengi mnamfahamu mechi kati ya yanga na zanaco alikichafua sana aliwapoteza vibaya mno wakina niyonzima,kamusoko pale kati
Na mguu wake wa kushoto alikuwa anafanya anachotaka kila sehemu unamkuta akiomba mpira na mpira ukiwa mguuni kwake ni kama vile smaku na rasta zake utafikiri Edgar Davids
Usajili bora kama dili ikikamilika
Siumeoma na Tambwe tayari kesha anguka?![]()
![]()
Zimisileni moyo kiungo wa zanaco nadhani wengi mnamfahamu mechi kati ya yanga na zanaco alikichafua sana aliwapoteza vibaya mno wakina niyonzima,kamusoko pale kati
Na mguu wake wa kushoto alikuwa anafanya anachotaka kila sehemu unamkuta akiomba mpira na mpira ukiwa mguuni kwake ni kama vile smaku na rasta zake utafikiri Edgar Davids
Usajili bora kama dili ikikamilika
Waliohonga wapo rumandeSoka la bongo! Usajili mamilioni. Na bado kuna fungu la kuhonga!
Nenda kawawekee bond viongozi wako sasa segereaHIVI LILE GARASA.....kishoka MKATA UMEME bado yupo ? KANDAMBILI BHANA....wanavituko!!! Wananikumbusha yule beach boy mchoma mishikaki aliyeletwa na tapeli MAXIMO.....
Mjiandae kupeleka chakula segerea kwa viongozi wenu mikia fcTeh teh teeeh. Yupo mkuu nahisi bado alikuwa anakula kozi Mtera, kidatu, nyumba ya Mungu na sasa anamalizia kozi yake Kinyerezi. Msubirieni msimu ujao.
Yanga sasa ndiyo tunaanza kusajili na mikia muanze kuwapelekea chakula watu wenu segereaMIKANDAMBILI haishiwi vituko.... huyo kishasepa kama alivyotoweka JAJA beach boy from Brazil....
Mambumbumbu sasa mliye tuKuchanganya Madesa ni kawaida ya Kandambili....
Hawezi kukumbuka maana kwa sasa mawazo yote yapo segereaHujamkumbuka serumkuma?beach boy(jaja) alitupa kombe la ngao ya hisan au umesahau ewe mbumbumbu?
NA makamu wake hadi 13.7 na mikia ilimkejeli Manj sana tena kwa matusi makubwavituko? kwani rais wenu kaachiwa
Nendeni segerea kuwajulia viongozi wenuKWELI KIMEO WEWE NI ''NDALA'' YA KWENDEA MALIWATONI GHAFLA UMEANZA MATUSI UNA JAZBA KAMA WAFUASI WA UKAWA....
yaani mkuu hawakujua machungu tuliyokuwa nayo kipindi kile,kweli malipo ni hapa hapaNA makamu wake hadi 13.7 na mikia ilimkejeli Manj sana tena kwa matusi makubwa
Huo ndiyo ukweli na kuna tetesi na popu naye tayari yupo takukuru anasubiri kufikishwa kwa pilato yaani usimcheke mwenzio kwa matukio ya kiduniayaani mkuu hawakujua machungu tuliyokuwa nayo kipindi kile,kweli malipo ni hapa hapa
hans tayari leo analala bila shukaHuo ndiyo ukweli na kuna tetesi na popu naye tayari yupo takukuru anasubiri kufikishwa kwa pilato yaani usimcheke mwenzio kwa matukio ya kidunia
Tena wao yamewafika kipindi kibaya kwelihans tayari leo analala bila shuka
kipindi ambacho walikuwa wanamaliza Magazeti mtaaniTena wao yamewafika kipindi kibaya kweli