Yanga ipo mbioni kumsainisha kiungo machachari "fundi,mnyumbulifu" kutoka zesco

Yanga ipo mbioni kumsainisha kiungo machachari "fundi,mnyumbulifu" kutoka zesco

42f95d67cfd0702d12b5612900181b5a.jpg

4e0d83fb8fb779ac20f5588a2647bf7e.jpg

Zimisileni moyo kiungo wa zanaco nadhani wengi mnamfahamu mechi kati ya yanga na zanaco alikichafua sana aliwapoteza vibaya mno wakina niyonzima,kamusoko pale kati

Na mguu wake wa kushoto alikuwa anafanya anachotaka kila sehemu unamkuta akiomba mpira na mpira ukiwa mguuni kwake ni kama vile smaku na rasta zake utafikiri Edgar Davids

Usajili bora kama dili ikikamilika
Mikia fc sasa wao ni mapambano ya kumaliza kesi teeeeeeeeeh teeeeeeeeeh Yanga hiiiii kweli ni timu ya wananchi tena wazalendo
 
42f95d67cfd0702d12b5612900181b5a.jpg

4e0d83fb8fb779ac20f5588a2647bf7e.jpg

Zimisileni moyo kiungo wa zanaco nadhani wengi mnamfahamu mechi kati ya yanga na zanaco alikichafua sana aliwapoteza vibaya mno wakina niyonzima,kamusoko pale kati

Na mguu wake wa kushoto alikuwa anafanya anachotaka kila sehemu unamkuta akiomba mpira na mpira ukiwa mguuni kwake ni kama vile smaku na rasta zake utafikiri Edgar Davids

Usajili bora kama dili ikikamilika
Siumeoma na Tambwe tayari kesha anguka?
 
Huo ndiyo ukweli na kuna tetesi na popu naye tayari yupo takukuru anasubiri kufikishwa kwa pilato yaani usimcheke mwenzio kwa matukio ya kidunia
hans tayari leo analala bila shuka
 
Back
Top Bottom