Yanga ipo miguuni mwa mtu huyu mmoja

AHSANTE MASHAKA JINA LA UTOPOLO LITADUMU KARNE NA KARNE. Mashaka Kapingo shabiki wa Yanga siku alipochefukwa na kipigo cha 3 bila dhidi ya Kagera ndipo akatuitie jina Utopolo.

Hakika jina limewapendeza na limewakaa vyema. Jina hili litadumu karne na karne.

Jina limefanana vyema na mashabiki wa Yanga wazee wa Utopolo na hata viongozi wao huwaona mashabiki Utopolo.
 
Infact Fei Toto anapiga sana Mpira saivi kiwango chake kimepanda maradufu naona hata pumzika zimwongezeka

Safi sana kijana kaza hivyo hivyo hii nchi inahitaji viungo wa ukweli Kama wewe
 
Sifa ya mtu kuwa na akili timamu ni kuwa na aibu
 
Mtoa mada apimwe mkojo !!
Yaani kale ka Fei ?Fei kale kenye macho ya kurembua kama mwanaasha wa Tanga !kimtu kinajiangusha kama gunia la viazi vibichi !kimtu akina Stamina aisee wwe rudia kuangalia mpira ndo uje na porojo nyngne znazoshawishi
Mimi mwenyewe nimeshangaa sana, Feitoto?

Game ya Kwanza VPL akina Mukoko walianza Bench, Feitoto alicheza kitu gani mle ndani?

Kaze ni kochwa haswa aiseee.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi mwenyewe nimeshangaa sana, Feitoto?

Game ya Kwanza VPL akina Mukoko walianza Bench, Feitoto alicheza kitu gani mle ndani?

Kaze ni kochwa haswa aiseee.

Sent using Jamii Forums mobile app
nikuulize kwahiyo mchezaji gani aliwahi game zote vizuri?

makocha wote waliomkuta fei hawajawahi kumuweka benchi mpaka team ya taifa hivyo hivyo..
bado hujaonatu hilo?
hatujakataa kaze ni kocha mzuri lakini uwe unaelewa unapoona maoni mengi hata hapa wamekubali angalia mpira vizuri
 
Halafu kuna poyoyo mmoja anamlinganisha huyu Dogo na Mkude
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…