Mtanzanias
JF-Expert Member
- Jul 30, 2021
- 1,747
- 3,725
Kuna katabia fulani hivi kameanzishwa na mashabiki wale wafuasi wa Mangungu na Mhindi wa bombay kuwa kila yanga inaposhinda mechi wao wanasema timu ni mbovu iliyokutana na yanga, Ni lugha fulani hivi ya kujihami lakini vichwani mwao wanalo fundo kubwa la wivu, Unaposema yanga kakutana na mbovu inamaanisha mbovu namba moja ni timu yako kwakuwa inapasuliwa kila ikinusa pua yake, U.s monastries kapigwa 2 kwa mkapa, Real bamako kachukua 2 kwa mkapa, Tp mazembe kachukua 3kwa mkapa kwa maana iyo izo timu zote ni mbovu? Kutinga makundi yanga kampasua Club africain kwao tunisia alikuwa mbovu? Makolo wenyewe wamekuwa wakiambulia kichapo toka kwa yanga sasa unajiuliza ni timu gani itaonekana ni imara mbele ya yanga hii? Maana kadri siku zinavyozidi kusonga mbele na yanga ndio inavyozidi kutoa vichapo kwa wapinzani,,Tp mazembe kapigwa nje ndani na yanga tuwaulize vijana wa Rage mara ya mwisho kumfunga mazembe ilikuwa ni lini? Yanga kwa sasa ni timu inayocheza mpira unaangalia ukiwa unakula popcon kwa raha zako bila wasi wasi wowote, yanga ni timu ambayo unaweza kupanga kikosi cha pili na timu ikaperfom vile vile kama kikosi cha kwanza, Kwa maana iyo kadri muda unavyozidi kwenda timu mbovu zitazidi kuongezeka mbele ya yanga hii,, Na trh 14 timu nyingine mbovu inajiandaa kupokea kichapo,,,
N:B KILA TIMU ITAVUNA ILICHOPANDA KWENYE USAJILI
N:B KILA TIMU ITAVUNA ILICHOPANDA KWENYE USAJILI