Yanga itaendelea kuzifanya timu nyingi zionekane mbovu

Ata Simba inaonekana masalo kwakua inatandikwa marakwamara na Yanga.
Ila na Simba akikutana na vibonde wenzake anaonekana kibonde aliye changamka.
Ila yuko CL, Na nyie mnajiita kikosi imara mko losers, Al hilal aliwafurushaa km mwizii dadekiiii.

Huki ni kwa wakubwaaa tyuuh. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Timu gani cecafa inaweza zifunga timu zilizofungwa na yanga
Timu zote zilizo Champions.

Walioko Champions wanao uwezo wa kuwafunga wote walio Confederation, kwahiyo kama kuna timu ya Cecafa ipo Champions, jua anao uwezo wa kuwakalisha Yanga na vibonde wake.
 
Simba ni kibonde wa Yanga, takwimu hazidanganyi.
 
Kuna katabia fulani hivi kameanzishwa na mashabiki wale wafuasi wa Mangungu na Mhindi wa bombay kuwa kila yanga inaposhinda mechi wao wanasema timu ni mbovu iliyokutana na yanga, Ni lugha fulani hivi ya kujihami lakini vichwani mwao wanalo fundo kubwa la wivu, Unaposema yanga kakutana na mbovu inamaanisha mbovu namba moja ni timu yako kwakuwa inapasuliwa kila ikinusa pua yake, U.s monastries kapigwa 2 kwa mkapa, Real bamako kachukua 2 kwa mkapa, Tp mazembe kachukua 3kwa mkapa kwa maana iyo izo timu zote ni mbovu? Kutinga makundi yanga kampasua Club africain kwao tunisia alikuwa mbovu? Makolo wenyewe wamekuwa wakiambulia kichapo toka kwa yanga sasa unajiuliza ni timu gani itaonekana ni imara mbele ya yanga hii? Maana kadri siku zinavyozidi kusonga mbele na yanga ndio inavyozidi kutoa vichapo kwa wapinzani,,Tp mazembe kapigwa nje ndani na yanga tuwaulize vijana wa Rage mara ya mwisho kumfunga mazembe ilikuwa ni lini? Yanga kwa sasa ni timu inayocheza mpira unaangalia ukiwa unakula popcon kwa raha zako bila wasi wasi wowote, yanga ni timu ambayo unaweza kupanga kikosi cha pili na timu ikaperfom vile vile kama kikosi cha kwanza, Kwa maana iyo kadri muda unavyozidi kwenda timu mbovu zitazidi kuongezeka mbele ya yanga hii,, Na trh 14 timu nyingine mbovu inajiandaa kupokea kichapo,,,

N:B KILA TIMU ITAVUNA ILICHOPANDA KWENYE USAJILI
Usijari tunacheza naye hivi karibuni tuje tuiione huo ubora wake
 
Timu zote zilizo Champions.

Walioko Champions wanao uwezo wa kuwafunga wote walio Confederation, kwahiyo kama kuna timu ya Cecafa ipo Champions, jua anao uwezo wa kuwakalisha Yanga na vibonde wake.
Simba anaweza mfungayanga!?
 
Ila yuko CL, Na nyie mnajiita kikosi imara mko losers, Al hilal aliwafurushaa km mwizii dadekiiii.

Huki ni kwa wakubwaaa tyuuh. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Shindeni CL na siye tushinde CC halafu tukutane super up Tuone nani atapasuka
 
Neno WEZA unalielewaje?

Vipers kampiga Yanga, Yanga kamfunga Simba, Vipers kafa kwa Simba

Vipers na Simba wamekaza Champions, Yanga katepeta mapeema.
Derby haipo mbali
 
Robo final yanga inakutana na
1.USM ALGER
2.PYRAMID
3.RIVERS UNITED
aisee kazi si ndogo hata kidogo hapo ni kupiga kazi hadi jasho ligeuke chumvi
 
Timu zote zilizo Champions.

Walioko Champions wanao uwezo wa kuwafunga wote walio Confederation, kwahiyo kama kuna timu ya Cecafa ipo Champions, jua anao uwezo wa kuwakalisha Yanga na vibonde wake.
Simba ipo champions!?
 
Kuna katabia fulani hivi kameanzishwa na mashabiki wale wafuasi wa Mangungu na Mhindi wa bombay kuwa kila yanga inaposhinda mechi wao wanasema timu ni mbovu iliyokutana na yanga, Ni lugha fulani hivi ya kujihami lakini vichwani mwao wanalo fundo kubwa la wivu, Unaposema yanga kakutana na mbovu inamaanisha mbovu namba moja ni timu yako kwakuwa inapasuliwa kila ikinusa pua yake, U.s monastries kapigwa 2 kwa mkapa, Real bamako kachukua 2 kwa mkapa, Tp mazembe kachukua 3kwa mkapa kwa maana iyo izo timu zote ni mbovu? Kutinga makundi yanga kampasua Club africain kwao tunisia alikuwa mbovu? Makolo wenyewe wamekuwa wakiambulia kichapo toka kwa yanga sasa unajiuliza ni timu gani itaonekana ni imara mbele ya yanga hii? Maana kadri siku zinavyozidi kusonga mbele na yanga ndio inavyozidi kutoa vichapo kwa wapinzani,,Tp mazembe kapigwa nje ndani na yanga tuwaulize vijana wa Rage mara ya mwisho kumfunga mazembe ilikuwa ni lini? Yanga kwa sasa ni timu inayocheza mpira unaangalia ukiwa unakula popcon kwa raha zako bila wasi wasi wowote, yanga ni timu ambayo unaweza kupanga kikosi cha pili na timu ikaperfom vile vile kama kikosi cha kwanza, Kwa maana iyo kadri muda unavyozidi kwenda timu mbovu zitazidi kuongezeka mbele ya yanga hii,, Na trh 14 timu nyingine mbovu inajiandaa kupokea kichapo,,,

N:B KILA TIMU ITAVUNA ILICHOPANDA KWENYE USAJILI
Huko kwenye kombe la wajane [emoji14][emoji2][emoji39][emoji3][emoji39][emoji2][emoji14][emoji2][emoji39][emoji3]

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom