Yanga itaifunga TP Mazembe

Ushahidi uliopo ni Ulimboka Mwangikwe alikamatwa na pesa akizipeleka Mtibwa ili Simba ishinde.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Home vs MAZEMBE : Loss - 0 Points

Away vs Real Bamako: Loss - 0 Points

Home vs Real Bamako: Draw/Win -1/3 Points

Home vs Monastir: Draw/Loss - 1/0 Points

Away vs MAZEMBE: Loss - 0 Points

Total Points: 4 or Less

🙆🏽‍♂️🙆🏽‍♂️🙆🏽‍♂️ Hakuna Robo Fainali ya Points 4 hata kama ni Kombe la Ma-loosers...😂😂😂

WEKA HII RISITI.... 😆😆
 
Weka na ya Simba
 
Mashindano ya CAFCL & CAFCC hayo ndo kipimo cha ubora kwa klabu zote wanachama kama klabu haishiriki au kufanya vyema huko itabakia kua mbovu tu hata klabu ibebe ubingwa mara zote. Halaf kwenye soka kuna kitu kinaitwa STANDARD yan klabu ikisha set standard yake yaan kuizid ni mpaka klabu nyingine uizidi hiyo standard(POINT), ko Sundowns walisha set standard yao ko kumzid mpaka uipite hiyo standard yake hata kama akimaliza vibaya kwenye msimu huo.
 
Mbona unajichanganya sasa kwahiyo kipindi kaizer anacheza fainali alikua bora kuliko mamelods? Hilo ndo lilikua swali.
 
Ligi ya ndani tu Ihefu inawatoa jasho. Mkishinda sana goli 1-0 la taabu
 
Mbona unajichanganya sasa kwahiyo kipindi kaizer anacheza fainali alikua bora kuliko mamelods? Hilo ndo lilikua swali.
Acha kukaza ubongo basi kwenye mpira kuna FORM na STANDARD, hivi ni vitu viwili tofauti yani wewe unataka kulazimisha vifanane au kuvilinganisha. FORM is temporary & STANDARD is permanent.... Sasa Standard ndo inatoa ubora wa timu na sio Form.
 
Tusibishane cha muhimu Yanga vs Tp mazembe ni jumapili tutapata majibu.
 
Kwenye makaratasi mnashinda 5-0, ila kama game inapigwa uwanjani kaa kwa kutulia...

Game za ligi kuu tu ushindi wenu kila siku ni 1-0, mpaka mpangiwe timu ya daraja la nne ASFC ndio muifunge 7-0[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Sawa
 
Paza tena sauti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…