permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 11,682
- 14,241
Ushahidi uliopo ni Ulimboka Mwangikwe alikamatwa na pesa akizipeleka Mtibwa ili Simba ishinde.Hiyo Sheria ya kusema duniani kote timu hupimwa kwa mashindano ya nje imewekwa na nani? Au ni mawazo yako tu?
Kwahiyo kaiser chiefs kipindi anashika nafasi ya 8 kwenye ligi huku akifika fainali ya CAF alikua bora sana kuliko mamelods aliyekua bingwa wa south?
Toka muanze kuongea ishu ya bahasha mpaka Leo hakuna aliyejitokezq kupeleka ushahidi TFF au FIFA Ili tushushwe kabisa daraja?
Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app