Yanga itaifunga TP Mazembe

Yanga itaifunga TP Mazembe

Home vs MAZEMBE : Loss - 0 Points

Away vs Real Bamako: Loss - 0 Points

Home vs Real Bamako: Draw/Win -1/3 Points

Home vs Monastir: Draw/Loss - 1/0 Points

Away vs MAZEMBE: Loss - 0 Points



Total Points: 4 or Less



🙆🏽‍♂️🙆🏽‍♂️🙆🏽‍♂️ Hakuna Robo Fainali ya Points 4 hata kama ni Kombe la Ma-loosers...😂😂😂



WEKA HII RISITI.... 😆😆
boss
 
Hakuna team dhaifu Tanzania kuliko yanga ni basi tu soka la bongo linaendeshwa kienyeji kama unabisha subiri Caf confederation cup halafu urudi hapa maana aibu inakuja.

Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
We n bonge la mchambuzi unaujua mpira mura

Nenda kwa mangi kunywa Pepsi big malipo kwangu

Yanga 1 wazembe 3
 
Back
Top Bottom