permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 11,682
- 14,241
Acha ujinga, unaandika vitu gani hivi?this is know truth. yanga kuvuka ni kazi sana. amna mwana yanga anabisha
Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha ujinga, unaandika vitu gani hivi?this is know truth. yanga kuvuka ni kazi sana. amna mwana yanga anabisha
Hata Nabi alisemwa hana uwezo wa michezo ya kimataifa kilichofuata... Hata hili ni suala la muda tu.Yanga hawana uzoefu wa kucheza michuona ya kimataifa kwasababu ya udogo wao..kuchukua kombe la ligii kuu sio kipimo sahihi cha ubora wa timu kwasababu waamuzi wa ndani hubeba timu mbovu ikachukua kombe kwasababu ya rushwa baasha,uwezo mdogo wa kuchezesha,ushabiki dhidi ya hiyo timu mbovu n.k
Mnaona tu Yanga huku kwetu kuna striker gani wa maana?Yanga watabisha ila Dirisha linakaribia kufungwa na Musonda ndo straika wao, Caf ikianza wana Mechi na Belouizdad...... Mi niko pale Nimekaa.
Asante ila taarifa Mwenyekiti:Hapo vip!!
Nimeona hili niliweke wazi na niwaandae wachezaji na washabiki wa yanga kisaikologia.
Sababu za kuona yanga ikiishia hatua ya makundi club bingwa ni hizi.
- Yanga ni timu ndogo sana katika barani Afrika..haipo hata kwenye timu bora 20 bora Afrika.
- Yanga inacheza na timu kubwa na bora barani Afrika,Ally ahly ni timu ya kwanza kwa ubora barani Afrika na Belazdad ni timu namba 4 kwa ubora barani Afrika.
- Hizi timu kubwa zina wachezaji professional na wenye viwango vikubwa na thamani kubwa ukilinganisha na wachezaji wa Yanga.
- Yanga hawana uzoefu wa kucheza michuona ya kimataifa kwasababu ya udogo wao..kuchukua kombe la ligii kuu sio kipimo sahihi cha ubora wa timu kwasababu waamuzi wa ndani hubeba timu mbovu ikachukua kombe kwasababu ya rushwa baasha,uwezo mdogo wa kuchezesha,ushabiki dhidi ya hiyo timu mbovu n.k
- Ubora wa yanga ni kwenye kombe la shirikisho na sio club bingwa..(looser ligi)na si vingenevyo.
- Yanga hawana uwezo wa kusajili wachezaji professional wa kuanzia bilioni na kuendelea kama wapinzani wao..wanalokota lokota walevi kama wakina Okra
- Yanga imeachiwa laana na baba yake SIMBA sc(mfalme wake Simba sc) kwasababu hana heshima na ajitambui na udogo na ubovu wake..ukitaka kufanikiwa appreciate maendeleo ya aliyekuzidi nipo utabarikiwa na kuendelea.
Unazungumzia Stiker tu ? Hata Beki hatuna 😀😂 Simba huko Caf tukivuka hata Makundi sijuiMnaona tu Yanga huku kwetu kuna striker gani wa maana?
Nyie waliwa na Ndege mna shida sanaHapo vip!!
Nimeona hili niliweke wazi na niwaandae wachezaji na washabiki wa yanga kisaikologia.
Sababu za kuona yanga ikiishia hatua ya makundi club bingwa ni hizi.
- Yanga ni timu ndogo sana katika barani Afrika..haipo hata kwenye timu bora 20 bora Afrika.
- Yanga inacheza na timu kubwa na bora barani Afrika,Ally ahly ni timu ya kwanza kwa ubora barani Afrika na Belazdad ni timu namba 4 kwa ubora barani Afrika.
- Hizi timu kubwa zina wachezaji professional na wenye viwango vikubwa na thamani kubwa ukilinganisha na wachezaji wa Yanga.
- Yanga hawana uzoefu wa kucheza michuona ya kimataifa kwasababu ya udogo wao..kuchukua kombe la ligii kuu sio kipimo sahihi cha ubora wa timu kwasababu waamuzi wa ndani hubeba timu mbovu ikachukua kombe kwasababu ya rushwa baasha,uwezo mdogo wa kuchezesha,ushabiki dhidi ya hiyo timu mbovu n.k
- Ubora wa yanga ni kwenye kombe la shirikisho na sio club bingwa..(looser ligi)na si vingenevyo.
- Yanga hawana uwezo wa kusajili wachezaji professional wa kuanzia bilioni na kuendelea kama wapinzani wao..wanalokota lokota walevi kama wakina Okra
- Yanga imeachiwa laana na baba yake SIMBA sc(mfalme wake Simba sc) kwasababu hana heshima na ajitambui na udogo na ubovu wake..ukitaka kufanikiwa appreciate maendeleo ya aliyekuzidi nipo utabarikiwa na kuendelea.
Ni ajabu kuona umetumia muda mrefu kufikiria na kuandika haya.Hapo vip!!

Haya yote yamesababishwa na AkandwanaoHapo vip!!

🤣🤣🤣🤣🤣🤣..📌🔨Haya yote ni hasira za kuliwa na MLANDEGE [emoji16]
Hamna makelele nyie? NALIA NGWENA NA LABAN OG unawafahamu?Mlianza kusema yanga hatoboi makundi, sasa mmebadil gia angani....NA BADO,SISI HATUNA MAKELELE
Washabiki wa yanga wengi ni mashogo,wannawake na wanaume wenye elements za kike.Asante ila taarifa Mwenyekiti:
1. Simba ni mke wa Yanga, sababu Simba ilitoka kwenye ubavu wa Yanga.
2. Yanga ndiyo timu iliyoifunga Simba mara nyingi kuliko timu zote Duniani.
3. Yanga ndiyo timu inayoongoza kwa kuchukua ubingwa wa Tanzania mara nyingi kuliko timu yoyote ikiwemo Simba.
4. Yanga ndiyo timu pekeee TANZANIA yenye medali kwa makombe yanayoandaliwa na CAF.
5. Yanga imeweka bango baada ya kuifunga Simba goli 5 Kwa Moja.
HEBU TUAMBIE KUHUSU TIMU YAKO
Kajifunze kwanza kusoma na kuandika tatizo hautaki kusikiliza ushauriWashabiki wa yanga wengi ni mashogo,wannawake na wanaume wenye elements za kike.
Sikia kwanza hakuna timu inayoitwa yanga iliyoanzishwa kabla ya simba sc,miaa 1938 kulikuwa na timu za watumwa,hakuna nchu inayoitwa Tanzania au Tanganyika,..Je kulikuwa na rais gani miaka hiyo?na ligi gani katika nchi gani?
Pili,timu yeyote mbovu na ndogo kama mtibwa au kagera n.k inaweza kuongoza kuchukua makombe ya ligi kuu kwasababu ligi kuu inachezeshwa na marefa wa mahasha,uwezo mdogo na wanaochezesha mpira k8shabiki..mfano mpra wa Apr na mlanda ndege,hivyo waamuzi wanauwezo wa kuwezesha timu mbovu ikachukua makombe ya ndani.
Yanga ni timu ndogo borq mla ndege image imechukua zaidi a miaka 28 kufika hatua ya makundi club bingwa,ligi ambayo baba yake Simba sc anacheza kila siku,ubora na ukubwa wa timu inapimwa na timu inayofanya vizuri kimataifa kwasababu inachezeshwa na marefaa au waamuzi wenye uwezo mkubwa na pia timu inacheza na timu bora na kubwa barani Afrika,na timu hiyo kubwa Afrika mashariki na kati ni Simba sc.
Fupisha habari yako ndefu mnoooo.Washabiki wa yanga wengi ni mashogo,wannawake na wanaume wenye elements za kike.
Sikia kwanza hakuna timu inayoitwa yanga iliyoanzishwa kabla ya simba sc miaka 1938,miaka ya 1937 kulikuwa hakuna timu inayoaitwa yanga wala SIMBA SC ni timu za watumwa ndio zilikuwepo,pia hakuna nchi inayoitwa Tanzania au Tanganyika,..Je kulikuwa na rais gani miaka hiyo?na ligi gani katika nchi gani?
Pili,timu yeyote mbovu na ndogo kama mtibwa au kagera n.k inaweza kuongoza kuchukua makombe ya ligi kuu kwasababu ligi kuu inachezeshwa na marefa wa bahasha,uwezo mdogo na wanaochezesha mpira kishabiki..mfano mpra wa Apr na mlanda ndege,hivyo waamuzi wanauwezo wa kuwezesha timu mbovu ikachukua makombe ya ndani.
Yanga ni timu ndogo borq mla ndege image imechukua zaidi a miaka 28 kufika hatua ya makundi club bingwa,ligi ambayo baba yake Simba sc anacheza kila siku,ubora na ukubwa wa timu inapimwa na timu inayofanya vizuri kimataifa kwasababu inachezeshwa na marefaa au waamuzi wenye uwezo mkubwa na pia timu inacheza na timu bora na kubwa barani Afrika,na timu hiyo kubwa Afrika mashariki na kati ni Simba sc.
KWA HIYO OUTOMATIC yanga NDIO MKE WA SIMBA SC TANZANIA
Upoooo ni kweli Yanga kaishia makundiWashabiki wa yanga wengi ni mashogo,wannawake na wanaume wenye elements za kike.
Sikia kwanza hakuna timu inayoitwa yanga iliyoanzishwa kabla ya simba sc miaka 1938,miaka ya 1937 kulikuwa hakuna timu inayoaitwa yanga wala SIMBA SC ni timu za watumwa ndio zilikuwepo,pia hakuna nchi inayoitwa Tanzania au Tanganyika,..Je kulikuwa na rais gani miaka hiyo?na ligi gani katika nchi gani?
Pili,timu yeyote mbovu na ndogo kama mtibwa au kagera n.k inaweza kuongoza kuchukua makombe ya ligi kuu kwasababu ligi kuu inachezeshwa na marefa wa bahasha,uwezo mdogo na wanaochezesha mpira kishabiki..mfano mpra wa Apr na mlanda ndege,hivyo waamuzi wanauwezo wa kuwezesha timu mbovu ikachukua makombe ya ndani.
Yanga ni timu ndogo borq mla ndege image imechukua zaidi a miaka 28 kufika hatua ya makundi club bingwa,ligi ambayo baba yake Simba sc anacheza kila siku,ubora na ukubwa wa timu inapimwa na timu inayofanya vizuri kimataifa kwasababu inachezeshwa na marefaa au waamuzi wenye uwezo mkubwa na pia timu inacheza na timu bora na kubwa barani Afrika,na timu hiyo kubwa Afrika mashariki na kati ni Simba sc.
KWA HIYO OUTOMATIC yanga NDIO MKE WA SIMBA SC TANZANIA
Tajiri feki kapotelea wapi?Usishangae mleta post kavuta bhange lake huko, ndio kapata wazo la kuandika upupu wake.
Kiufupi huo ni utabir, na utabiri hauna uhakika.